Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee Military equipments in H225M
1. FN MAG Machine Guns
2. MU90 Impact Rockets torpedoes
3. Thales radar
4. Countermeasure system

CAPACITY 28 troops
 
Mzee mbona maneno mengi sana. Mimi specs nimekupatia.
Kwamba MD-500 users wake ni police.
Wewe unalazimisha zitumike kwenye military. Mzee sitaki kukuita wewe ni mjinga.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] chaajabu tukachapa mtu,,,,ila kinachochekesha nyie wenye vifaa hamna msaada wowote hapa africa mpo mpo tu
Hatuna msaada? Hujaona mission za peacekeeping tulizofanya hapo juu, situmi tena, soma.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaona sasa mambo yako yaani akili yako ni yakiandazi sana......

rudi kasome upya nilichokuuliza

uache uboya
Uboya ni kurudia kitu kisichokuwa na maana, ishapita hiyo!
 
Mzee mbona maneno mengi sana. Mimi specs nimekupatia.
Kwamba MD-500 users wake ni police.
Wewe unalazimisha zitumike kwenye military. Mzee sitaki kukuita wewe ni mjinga.
Nani mjinga kati yangu mimi na wewe. Wewe unaweza kunifunza nini kuhusu MD-500?


Tazama hii video ya dakika mbili utaona MD-500 ya Kenya ikirusha kombora.
 
Mzee mbona maneno mengi sana. Mimi specs nimekupatia.
Kwamba MD-500 users wake ni police.
Wewe unalazimisha zitumike kwenye military. Mzee sitaki kukuita wewe ni mjinga.
Ulivyo na ujinga wa kupingana hovyo hovyo kwa mambo usiyoyajua. Tazama hii video ya dakika nne uone USA wakitumia MD-500 huko Afghanistan. Kwanza special forces wanaipenda maana ni light attack helicopter. Kwa hivyo US ni wajinga kutumia ndege hii kwenye vita zao Afghanistan? Mbona unajifanya unajua sana kushinda hata Wamarekani kwenye maswala ya vita?


 
Unajadili MD 500 halafu unaleta video ya MD 530! Asee!
 
Mzee hivi huoni aibu!?
Yaani kwa akili yako unataka compare H225M na hako TR, MD-500?
serious!?
Yetu inatupa makombora na yenu inabeba watu sasa wewe ndio huoni aibu kucompare transport helicopter na attack helicopter. Kwanza hii MD-500 special forces wa marekani wanaipenda sana maana ni light attack helicopter, wakishambuliwa wanaiita inakuja inafanya mashambulizi.


Nilikuambia kwamba kuna military version ya MD-500 na ukaendelea kupinga na kusema kwamba zote ni civilian.
Soma hapa


McDonnell Douglas MD 500 Defender​



The McDonnell Douglas Helicopter Systems MD 500 Defender is a light multi-role military helicopter based on the MD 500 light utility helicopter and OH-6 Cayuse Light Observation Helicopter.
MD 500 Defender
An Afghan Air Force MD 530F firing off its gun pods
RoleLight multi-role military helicopter
National originUnited States
ManufacturerHughes Helicopters
McDonnell Douglas Helicopter Systems
MD Helicopters
First flight1976
StatusIn service
Primary usersRepublic of Korea Army
Iraqi Air Force
Israeli Air Force
Philippine Air Force
Produced1976–present
Number built471
Developed fromHughes OH-6 Cayuse
MD Helicopters MD 500

​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…