Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najua unaongelea nini, wacha nikuzoom tu πŸ˜‚
 
Ndio maana ada za pale ni balaa
 
Nafikiri ni kenya, kimwizzy anasema dr wa kijeshi hawatibu raia, maana yake hakuna hosp za jeshi
Sijasema hawatibu raia, nimesema hawapatikani kwenye hospitali za raia. Kwani familia za wanajeshi na ni raia wanatibiwa wapi? Wacha kuweka maneno yasiokuwepo, au hujasoma?
 
Hapo umesoma wapi Serikali inategemea Batuk?
Wao wanafanya yao kwa ajili ya training kwa wanajeshi wao kila mwaka wakija Kenya, sio kwa ajili ya serikali ya ke. Pili, serikali yoyote ikitia kambi nchini kwetu au hata kwingine, host nation lazma alipwe kwa kila muda wanaokaa humo. Sio bure, ni sawa na tax tu. Ka ukijua hivyo. Wale wachina waliowatengezea military complex, mliwalipa na ya kutolea? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Pia kuna war memorial hospital Nakuru. Nilitibiwa huko.
Achana na hawa, wanapiga story vijiweni wakidanganyana na hapo mtu hajui hata kambi inakaa aje, kudadadeki! 🀣 🀣 🀣
Wanatarajia kupata kila kitu chetu kimechapishwa kwenye Internet, ata juzi ndio wanajua tunatengeneza Rifles na Pistols, wakienda Google, hamna kitu! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
leta picha na leta evidence ni medical college!
 
Tangu lini kenya ikawa na siri, je unadhani Tz haitengenezi rifles? Au kwakuwa hatuongeiongei? Watu tunaunda vifaru we unaongelea kuhusu rifles we vp.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Defence Forces Wellness Centre, Langata, Nairobi.

Defence Forces Memorial Hospital, Central Nairobi.

NB;Kuna nyingine hatari iko njiani! 🀣
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    34.4 KB · Views: 19
  • images (2).jpeg
    27.9 KB · Views: 21
  • images (3).jpeg
    30.5 KB · Views: 24
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…