Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Nafasi ya brt imeachwa katkat , katkat hapajajengwa kabisaHivi hiki kipande cha Morocco to mwenge wakitaka kujenga BRT watavunja tarmac road ambayo wanamalizia kujenga au?
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Mama naona yupo Dar naona makazi yake rasmi yatakuwa Dar!
Vile unaongelea kalio wala akuna shida...ebu funga tuu mana harufu mbayaaaYani hii ndio kazi amefanya pekee [emoji850][emoji850][emoji850] elimu bure tulipata 2002, ndege hasara tupu, interchange nchi nzima mbili , sgr yajengwa ikibomolewa, afya bora yeye kafa kenya, airport terminal passengers zero. Niendelee ama niwache upumue kwanza[emoji41]
Neither am iNot my problem Mr.
We fala wa ushago hiyo loss ni $26m (2019/2020) kutokana na Covid. Pesa hii hainunui hata Dash Q400 wakati Kenya Airways imepata loss ya $333m hii ni mara 12 ya loss yetu. Ni pesa ya kununulia Dreamliner.Naskia walinunua ndege cash na ni zaidi ya miaka tano bila kupata profit ata ya kununua kitunguu ama tomato..hio biashara waifunge tu..waendeleze SGR yao..
Hehehehehe alikuwa anamjibu ***** master [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sikuelew.. which fake brt?
Shida iko wapi kwani, tuna miradi muhimu kuliko hilo bomba
Hehe skuizi tunashindana kwa hasara,We fala wa ushago hiyo loss ni $26m (2019/2020) kutokana na Covid. Pesa hii hainunui hata Dash Q400 wakati Kenya Airways imepata loss ya $333m hii ni mara 12 ya loss yetu. Ni pesa ya kununulia Dreamliner.
ππππ yani hivi ndo kuinuliwa
If it's good for the goose it is very well good for the gander.Hehe skuizi tunashindana kwa hasara,
Usifananishe Mandera na ushuziπWhy is it confusing me with Mandera?
If it's good for the goose is good for the gander.
πππππππ
Yani hii ndio kazi amefanya pekee π€π€π€ elimu bure tulipata 2002, ndege hasara tupu, interchange nchi nzima mbili , sgr yajengwa ikibomolewa, afya bora yeye kafa kenya, airport terminal passengers zero. Niendelee ama niwache upumue kwanzaπ
Yah hapo sawa . Kuwa na mipango endelevu ni japo zuri sanaNafasi ya brt imeachwa katkat , katkat hapajajengwa kabisa
Nimekuja kukunyoa sasa.πππππππ
We have important projects with our lapsset partners. Uganda and tanzania is saturated market.