Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli kabisa mavi yamegonga chupi, Uganda ambayo ndio wanayosema ndio ndugu wao wa damu na "the biggest bussines partner" Leo tena sio muhimu?, muda sio mrefu watasema Ethiopia sio muhimu, sasa hivi kipaumbele ni kufanya biashara na Alshabaab.
Soko la uganda limeshafika ukingo wake, tunataka untapped market kutoka s.sudan na ethiopia lenye litafungua nchi yetu vizuri.
 
Wamevuliwa chupi na CAG๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚waone Sasa venye uchi wao ni shapeless,,TZ ni corrupt every sector,,Magu alificha haya yote na ku brainwash wapoko,,Sasa watalilia choo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Huu uzi hawana hamu nao๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, kabishane na magufuli ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Ndio kiboko yenu hawatoki mdomoni ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Naskia walinunua ndege cash na ni zaidi ya miaka tano bila kupata profit ata ya kununua kitunguu ama tomato..hio biashara waifunge tu..waendeleze SGR yao..
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
60b tsh in 5 yrs against 36b ksh in just one year bado unshindana kweli๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wamevuliwa chupi na CAG๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚waone Sasa venye uchi wao ni shapeless,,TZ ni corrupt every sector,,Magu alificha haya yote na ku brainwash wapoko,,Sasa watalilia choo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Na kafanya mambo ambayo kenya mungetumia miaka 40 ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… au nasema urongooooooo
 
Soko la uganda limeshafika ukingo wake, tunataka untapped market kutoka s.sudan na ethiopia lenye litafungua nchi yetu vizuri.
Who told you imeshafika ukomo kama sio desperation yenu baada ya kuona Uganda imeamua kuelekeza nguvu zake kwa Tanzania?, with all civil unrest in both SS and Ethiopia, which market do you expect from those failed states, nor wonder Uhuru Kenyatta haraka sana ametuma ujumbe kuja Tanzania, anajua ndio nchi pekee Kenya inayoitegemea pakubwa sana ukanda huu
 
CAG...rudi ukasome CAG....bado nitakukumbusha hadi uerevuke...
Wamevuliwa chupi na CAG๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚waone Sasa venye uchi wao ni shapeless,,TZ ni corrupt every sector,,Magu alificha haya yote na ku brainwash wapoko,,Sasa watalilia choo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
uende wapi na unatakiwa uonyeshe hivyo vitu mmetaja.[emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ