Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kazi nzuri sana hii. Tanzania nadhani soon itakuwa na the biggest and most developed BRT system in Africa. Kuna cities kadhaa zina BRT kama akina Lagos na zingine chache lakini nadhani mkimaliza phase 3 tayari mtakuwa wababe ya BRT hapa Africa ukizingatia urefu wa kilomita za BRT zilizojengwa, idadi ya stations za BRT, idadi ya abiria wanaobebwa kila siku na idadi ya mabasi yanayotumika. Endeleeni kujenga miundo mbinu ya BRT maana you are going in the right direction kwenye maswala ya urban public transit systems. Mpo mbele sana.
 
kaka wakunya watumwa hao ujajua tuu[emoji1787][emoji1787] kazi yao kujiita kenyans on twitter (KOT).
Hawa huwa wanapenda sana sifa za kijinga nilikuwa sijui maana ya KOT kumbe ndio hvyo, basi hapo utakuta wameiba idea ya nationals wa nchi fulani ila wao wakaweka K nyuma mana hawana akili ya kufanya ubunifu.
 
Utauzi Teargas na Coco Master [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We mkenya mbona unakuwa kilaza!!!!..tuonyeshe baiskeli za abiria za China,hiyo uliyoweka hapo juu sio baiskeli(bicycle)..hizo ulizoweka hapo ni tricycle,si baiskeli...

Jua kutofautisha kati ya bicycle na tricycle.
Hata anajua maana ya bi na tri? Msamemehe bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Eti biggest and most developed brt, uliskia wapi???? Have you done simple research on other countries before making conclusions. Tatizo unapenda kujipendekeza

In SA fourth tier city like Pretoria has a roburst well running brt system more efficient than udart by thousand miles.
Teargas komora096 Yosef Festo huyu jamaa vipi???
 
Tony254 umeonaaa? Nilikuambia utaumiza mtu kwa kuongea ukweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Hapa una differentiate opinion na facts kaka, kuna watu wengi humu, haswa southerners mostly wanatoa maoni ki propaganda ionekane eti ni facts. Some have very little exposure, understand, and have fun. Your weapon is to present concrete facts. Kuna watu wametekenywa na kujichekea 😂😂, the only thing utajifunza humu ni kiswahili tu, zaidi ya hapo nothing, ni vioja tupu na mijisifa hewa 😂 😂 😂
 
Asa hii na pale Msimbazi Brt station kuna tofauti gani au ni hiyo rang nyekundu, maana kama ni bati ni msouth pia[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…