Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
- Thread starter
- #26,921
Sasa kipi kinakuwasha. Sisi tunapenda football tukishindwa sisi hatuumii halafu wakenya mnaumia si ujinga huo.But you perform poorly in football, mngekua league ya akina Cameroon sawa, add more to sports
90% ya wanaume Tz wanajua soccer. Sasa wewe mkenya unatupangia tuishije umekosa kazi ya kufanya tukupe ajira. Kwanza kabla ya yote umekula lakini kijana!?