Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakuunga mkono kaka, binafsi niliumia sana, na nnajua watanzania asilimia kubwa tumeguswa, tumuombee pumziko zuri, pia tumuombee Mama awe imara asitikisike na baadhi ya watu.
Ama kwa hakika Watz tumeguswa mno, hv unajua mpk leo huku mtaani habari ni za Magu tu? Yani watu hawajaamini na wamegoma kabisa kuamini, jana umeme ulikatika kutokana na hali ya hewa basi kuna mama mmoja akasema "Magu angekuwepo wasingefanya ujinga wa kukata umeme na kutourudisha mpk ss" [emoji3][emoji3] nilicheka moyoni lkn nikasema maneno km haya nna uhakika yataendelea kuwepo kwa mda mrefu sn na ndiyo maana naiona kazi ngumu aliyonayo Rais Samia cz Watz walikuwa na matarajio makubwa na imani kubwa mno kwa Magu na ndiyo maana wapinzani wake wakawa wanachukia sana cz kila kitu Magu Magu Magu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa ndugu yangu ni moja kati ya pigo kubwa kuwahi kutokea ulimwenguni kwa upande wangu

Tumpe mama support tuliokua tunampa JPM, JPM pamoja na utashi, maarifa, maono na Intel yake kuwa kubwa kupindukia lakini pia imani ya watanzania juu yake iliongeza kasi na ubora wa utendaji wake

Tulimpa imani na kuona ana deni kubwa huenda hata zaidi alivyokua amejipanga awali, tumpe mama hiyo imani na ushirikiano kadri tulivyo fanya kwa JPM nae ataona ana deni kubwa sana

Mzee wa Chato alimwambia uongozi wake utapimwa kwa uongozi wa JPM nafikiri hatokua ameichukulia hiyo kauli simple.
 
Pole Sana brother,tumeumia wote,hasa kwa wale tuliomuelewa alikokuwa anatupeleka,mpaka Sasa inaniuma sana
 
Aawapii kafanya nn meaningful zaidi ya porojo! nakumbuka alihaidi kupima ardhi nchi nzima na kuipa hati na kuwa na Landuse database for the whole country! Ila wapii hamna kitu mpaka sasa!? katika watendaji wabovu wa baraza la Mawaziri ni yeye!
 
Lukuvi hamna kitu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
historia yake katka taifa hili inambeba n kama mkuchika tuu ila ameisha saivi au wizara ngumu simuelewi kabisa
Sio vzr kuongea mambo ya watu ila kuna jamaa yangu alinipa story moja hv kitambo kidogo, yeye alikuwa dereva nyumbani kwa Lukuvi, anakuambia kuna wakati alikuwa anamsikia anaongea na simu anasema "hii dili yule mkuda asijue ataharibu" huyo mkuda wanayemzungumzia ni Magufuli enzi hizo akiwa waziri wa ujenzi.

Unaambiwa hiyo ilikuwa michongo ya dili za dawa za kulevya makontena yanaingia, lkn kuna ishu zingine Magu alikuwa anasema "mama yangu hii hapana Mungu hapendi" japo jamaa aliniambia kuna dili ambazo Magu alikuwa anazikubali lkn zingine alishindwa kabisa kuvumilia na ndiyo maana baadhi ya mawaziri wakawa kama wanamkataa, kumbuka enzi hizo Magu ni waziri.

Jamaa yangu aliniambia Lukuvi alikuwa anarudi na mabegi ya pesa kila siku kwa dili haramu walizokuwa wanapiga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lukuvi hamna kitu
 
aisee [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…