Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wako kama wanyama hawajastaharabika kabisa..
 
Mr Geza wewe ni IT expert, kweli kwa hii field yako unataka kuniambia hakuna mbinu inawezatumika kumtruck uyu mtu mkuu naomba unjuze
Kuna watu humu ndani wanaweza zaidi hata hints zinazotolewa zina mashiko waambie serikali waseme watatoa ngapi incase mtu anajitolea kumtafuta! Si zawadi nono kimaneno tuu! wasema nono $50,000 au $100,000 au $200,000 watu wamuibue!
 
jamaa aliwahi kufanya kazi Scania .. hata huko akaiba 170 millions[emoji23][emoji23]

nimewapa hints nying.. tusubiire wafanye kazi [emoji41]
 
Mr Geza wewe ni IT expert, kweli kwa hii field yako unataka kuniambia hakuna mbinu inawezatumika kumtruck uyu mtu mkuu naomba unjuze
Mimi kuna mjinga mmmoja alini-bore wakati flani nika-hack facebook yake account nikaweka picha zake na familia yake Kilichotokea nikala-ban na jamaa akabadilisha username yake! Walio JF kwa muda wanajua hili tukio la siku nyingi lakini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…