OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Sisi tunataka bi mkubwa atuondolee wale watu wa Magufuli kama akina Bashe, Bashiru hao siyo watu kabisa..majaliwa waongo waongo kama hao afyekelee mbali ..tunataka VP ambaye atasimama kidete kupiga kazi na siyo umbeya umbeya kama wa ninyi vijana wa lumumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unadhani yeye kwenda ndio ina uhusiano gani na wewe kuanza kupiga upya???
tena tuwakumbushe,bimkubwa atatka amfunike magufuli,hapo ndio mtaanza kupiga kelele za kumkunbuka magu.
Hivi kazi ulishapata, Mana tangu enzi za mkwere huna kazi unakuja kumlaumu Magu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe endelea kuwa mnyonge baba yenu aliyewafanya wanyonge keshakwenda hivyo. Watu tulikuwa tunaogopa kuwekeza maana utaambiwa wewe mpigaji. Aya kachukue buku saba watoto waende chooni. MaTAGA bana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mbn nakufaham vzr but wasiokufaham watapata tabu sana, ila nakupeleka hv hv japo nafahamu wewe ni troll [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hehehe kweli kweli Tanzania ni nchi yangu mkuu ..mimi huwa nazinguaga tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
RIP Magufuli
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sisi tunataka bi mkubwa atuondolee wale watu wa Magufuli kama akina Bashe, Bashiru hao siyo watu kabisa..majaliwa waongo waongo kama hao afyekelee mbali ..tunataka VP ambaye atasimama kidete kupiga kazi na siyo umbeya umbeya kama wa ninyi vijana wa lumumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbn nakufaham vzr but wasiokufaham watapata tabu sana, ila nakupeleka hv hv japo nafahamu wewe ni troll [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu niko Qatar hapa napiga mishe mishe fulani[emoji2][emoji2][emoji2]Hivi kazi ulishapata, Mana tangu enzi za mkwere huna kazi unakuja kumlaumu Magu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio barabara tu,While Gideon Moi media KTN is busy smearing the name of JPM, here is how Chato town looks 5 years of his leadership
While i hear his father("democratic President") had to be airlifted to his graveyard after his 24 years in rein!
Moi body being taken from chopper
Kabarak roads
After murram repair
Baringo roads Moi constituent
Tony254
Issue sio idadi ya vifoUnashangaa nini ss, hiyo ndiyo Kenya mliyokuwa mnaongopewa kila siku and FYI wengi wao hufa kwa njaa.
True friends of Tanzania 🇹🇿Asanten wacongo kwa kutuonyesha mlivyo guswa...rest in peace JPMView attachment 1734830View attachment 1734833View attachment 1734836
Kusema yuatoa harafu ni tusi ama ni jambo la wazi, Halafu matusi nayajua sana muulize Lusematic lakini nimeamua kuwapuuza.Hivi wewe kichwani kunazo? Kuna tusi Zaid ya matusi huaga unarusha humu kumhusu magu?🙄
Alafu ulivyo na roho mbaya unafikia kutukana mpaka mwili wa mpendwa marehem?unae report kwake Hana huo mda kusikiliza upumbavu wako tuna kuvumilia Sana Ila mda wako unakuja tu. aafu Una bahati Sana Alie kutukana kakuchagulia tusi popo Bawa ulie jaa funza 😃