Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nibe sababu kwanini tushangilie wachawi wa Kikenya wanasambaza habari za kifo cha JPM!
Na wewe sambaza za kwako ya kwamba yupo hai uwaumbue wanaomzushia maradhi na kifo..
Au na wewe pia hujui alipo na wala huna taarifa nae lkn bado unakuja huku kunengua na kukenulia watu meno
 
Kuna mtu anasubiri umeme kuwa idle.
 
Hata media ndogo ndogo za Kenya pia zinamzungumzia Magufuli
 
Mbona hasira, tueleze mbona timu yako unayoishabikia imetushtaki na huo mpka tuliunyakua mwaka gani..
Au na we ni shabiki maandazi, unafuata tu usichokijua kisa roho yako ni ya kichawi
visit Tanzania the unforgettable [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 

Attachments

  • 20210315_143120.jpg
    69.3 KB · Views: 19
  • 20210315_143933.jpg
    102.7 KB · Views: 21
Hoja kwishaa[emoji1787][emoji1787]
Ukikubali nikuletee taarifa na utazikubali ni tag
Hii ni post ya mtu au media🤣🤣👇👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…