Falsafa yetu ilikuwa kupinga unyonyaji popote pale duniani, ndiyo sababu ya kuwasaidia hao wapalestina. Majirani zao waarabu huwa ni wanafiki sana hivyo walipoomba msaada kwa non aligned movement (NAM) Tanzania ikiwa mjumbe, walipewa. Tanzania imekuwa ikipokea wakimbizi wa Rwanda na Burundi toka 50's huko na imekuwa ikiwapa hifadhi wasomali na hata wasudani kusini.Kama kweli aliwaruhusu kuingiza bidhaa bila kulipa kodi nae alikosea sana sababu moja, anawaweka wageni kuwa na advantage sokoni kuliko wazawa lakini pili hatukutakiwa kuwachukua watu kutoka bara jingine sababu wana majirani ambao ni waarabu wenzao sasa kama majirani hawawataki sisi hatukutakiwa kuwa watakatifu sana, tatu hatuna mahusiano nao yoyote ya kiutamaduni(kama hawa wamarekani weusi)
Miaka ya sitini huo uhalifu unaousema haukuwepo ila kuna mfumo uliwekwa uliosababisha huo uhalifu kuongezeka. Ulianza katika kuharibu misingi ya familia kwa ku - promote single motherhood.Haya mambo ya kusaidia watu yametuchelewesha pia kwenye maendeleo sasa hivi waje ni offer mezani kama wengine tu mambo ya systemic racism yapo kweli lakini pia huko kwao ndio wanaongoza kwa uhalifu, utumiaji wa madawa, kukosa malezi ya wazazi wote na kukosa maarifa ya uwekezaji sasa kaka upo tayari kubeba hayo matatizo yao mengine pia uyalete huku?
We fala hata ulaya wanasimama sembuse failed state [emoji116][emoji116]View attachment 1724784View attachment 1724783
Kesi ipi tena jamani! Si tuliambiwa "Yule judge ambaye alikuwa Msomali na pia alikuwa president wa ICJ hatimaye ame-retire. Judge kutoka US amechukua nafasi yake. Somalia ilipeleka Kenya kwenye korti hii ya ICJ kwa madai kwamba Kenya imenyakua kipande cha bahari yake.Naona Wakunya wamepelekwa ICJ na Somalia over marintime dispute hii ni kesi ya mda mrefu na kuna uwezekano Somalia wakashinda hiyo kesi[emoji3] tunawombea Somalia ushindi [emoji3]
Nimecheki Leo kwa RT news na CNN walikua Wana rusha hiyo kesi sema nimekosa link ninge share,Kesi ipi tena jamani! Si tuliambiwa "Yule judge ambaye alikuwa Msomali na pia alikuwa president wa ICJ hatimaye ame-retire. Judge kutoka US amechukua nafasi yake. Somalia ilipeleka Kenya kwenye korti hii ya ICJ kwa madai kwamba Kenya imenyakua kipande cha bahari yake.
Kenya imejaribu kwa muda mrefu kudelay kesi hii ili huyu judge Msomali aretire. Sasa jamaa ameretire. Wacha akwende kabisa. Chances za Kenya kushinda hii kesi imeongezeka mara dufu."
US judge takes over from Somali judge at the ICJ
Yule judge ambaye alikuwa Msomali na pia alikuwa president wa ICJ hatimaye ame-retire. Judge kutoka US amechukua nafasi yake. Somalia ilipeleka Kenya kwenye korti hii ya ICJ kwa madai kwamba Kenya imenyakua kipande cha bahari yake. Kenya imejaribu kwa muda mrefu kudelay kesi hii ili huyu judge...www.jamiiforums.com
Kaka uko upande upi? 🙂Kesi ipi tena jamani! Si tuliambiwa "Yule judge ambaye alikuwa Msomali na pia alikuwa president wa ICJ hatimaye ame-retire. Judge kutoka US amechukua nafasi yake. Somalia ilipeleka Kenya kwenye korti hii ya ICJ kwa madai kwamba Kenya imenyakua kipande cha bahari yake.
Kenya imejaribu kwa muda mrefu kudelay kesi hii ili huyu judge Msomali aretire. Sasa jamaa ameretire. Wacha akwende kabisa. Chances za Kenya kushinda hii kesi imeongezeka mara dufu."
World class infrastructure 👏👏👏Tanzania inapoelekea sio poa, mpaka 2030 kama mwendo utakuwa ni huuhuu hakika hakuna nchi yeyote afrika itakayojilinganisha nasisiView attachment 1724802
Hahahah, the fools are being taken for the free ride [emoji3][emoji3][emoji3]
I think you are speaking from a point of ignorance because you don't know this project. If I get time I will show you the renders and you will realise it is worth it.mmepoteza pesa kuna namna nyingi ya kuexpand road,,,,hiyo sehemu haikidhi vigezo kuwa hivyo,,,,,,,mnafanya vitu kwa kurash rash for nothing,,,
kwani mngetandika mkeka wa kawaida na kuweka hata junction mngepungukiwa nini,.?..japo kuwa hiyo sehemu hata junction yenyewe inavyoonekana haipaswi kuwepo...
matumizi mabaya ya rasilimali pesa
Msomali amewakalia kooni [emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheki Leo kwa RT news na CNN walikua Wana rusha hiyo kesi sema nimekosa link ninge share,
Wakunya wanapinga hiyo kesi alafu kuna issue ya rushwa Kenya inadaiwa kuhusika ili wawe favoured sijui itakuaje[emoji3]
This picture is dope, the road is also quality bana, they just need to work on the side walksTanzania inapoelekea sio poa, mpaka 2030 kama mwendo utakuwa ni huuhuu hakika hakuna nchi yeyote afrika itakayojilinganisha nasisiView attachment 1724802
Kaka, Soomaalidu gabi ahaanba waa walaalo.Kaka uko upande upi? 🙂
You will be happy if we lost the case to Somalia?Kaka uko upande upi? 🙂
Unimpressive,Kwanini wasimchukie magufuli wakat wanayo kila sababu🤣🤣👇👇👇
View attachment 1724828View attachment 1724829View attachment 1724830View attachment 1724831
Mwarabu koko unacheka kweli ama watuzingua.Taratibu 🤣🤣👇👇
Chukua big g ujionyonge au kumbatia transformer ya kenya power🤣🤣🤣Unimpressive,