Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,818
Tanzanians on this forum are quite uninformed lot. May be due to lack of freedom of speech in Tanzania or artificial patriotism caused by singing a lot of CCM uzalendo songs.
A lot is happening in Tanzania and if not handled carefully things could run out of hand.
There is some kind of power struggle and the worst is that it is pitting elected leaders and the Army.
This can easily lead to a coup.
We are not praying for anything bad to happen to our neighbors, as the say, "Ujinga hauishi kwa kumchukia mwerevu"
But let the rule of law prevail in such times in Tanzanzia. It should be just simple that in absence of JPM, the Vice President Madam, Suluhu Samia should take the steering of the country.
View attachment 1724398
Picha sio hoja, tafakari hiyo taarifa.ukilimwa ban unalia.
unajua hizi picha zimepigwa lini kwa matumizi gani??
ukilimwa ban unalia.
unajua hizi picha zimepigwa lini kwa matumizi gani??
taarifa ni kwamba mh rais wa jmt ni mzima wa afya.Picha sio hoja, tafakari hiyo taarifa.
yah nafkir tunaweza kuanza na urahisi wa kufungua biashara hapa ndipo tatizo lilipo by the way wapo katka hatua ya kusajili umoja wao na kutambulika so kupitia mchakato huu nafkir wataongelea na swala la biashara +ajiraKaka pitia vizuri mabango yangu yote hakuna mahali niliposema hawa jamaa wapewe uraia kwa urahisi rahisi zaidi ya kuzungumzia special status tu na sidhani kama ni lazima upewe uraia unapopewa special status nasema hiv kwa sababu sina uelewa mpana wa maswala ya kidiplomasia,ila kiufupi wanakuja wapo makanjanja ila pia wameanza kuibuka wakubwa don't underestimate bado kuna weusi wenye mitaji mikubwa ndani ya US na pia idadi yao si ndogo hasa ukilinganisha na uchumi wa nchi zetu za kiafrika.
mkuu potezea wote wanaoleta habari za president unapoteza mda...taarifa ni kwamba mh rais wa jmt ni mzima wa afya.
hizo nyingine ni blah blah.
urahisi wa kufungua biashara ni kitu tunatakiwa kukiangalia upyaKaka sidhani kama wanastahili hiyo special status unless kuna kitu chanya wamekiingiza kwenye jamii yetu lakini sio kwa kigezo wao ni weusi. Ni wageni kama wageni wengine wawe treated sawa tu. Kama wahindi, wazungu na wakenya wamewekeza sana hapa na hawana special status zaidi ya kupewa eneo la uwekezaji kwanini hao wapewe uspecial? Kumbuka hatufaidiki chochote na rangi ya ngozi yao.
Kwa anaependa afate taratibu abadili uraia awe mbongo tu atapata privileges za mtanzania kwenye ewekezaji ingawa najua hawawezi kufanya hili.
haya ndiyo matumizi mabaya ya fedha,,,,mnajenga vitu for nothing huko vichakani hakuna haja ya kujenga huo utopolo......hakuna ubize wowote kupo kupo tu[emoji6][emoji6][emoji6][emoji1787][emoji1787]Quick reminder on the Kshs. 17. 3 billion construction on the 8 Lane highway - western by pass
View attachment 1724468View attachment 1724469View attachment 1724470View attachment 1724471View attachment 1724472View attachment 1724473View attachment 1724474
Mbona unakauchungu flani hivimkuu potezea wote wanaoleta habari za president unapoteza mda...
wiki lote linaongelewa swala hilo hilo tu,,huoni kama unajidumbua mkuu kuelekeza watu makuzi
Aliskika mwanauchumi wa ccm tawi la tandale.haya ndiyo matumizi mabaya ya fedha,,,,mnajenga vitu for nothing huko vichakani hakuna haja ya kujenga huo utopolo......hakuna ubize wowote kupo kupo tu[emoji6][emoji6][emoji6][emoji1787][emoji1787]
ndiyo nakauchungu flan hivi......Mbona unakauchungu flani hivi
Mimi siku nyingi nilishaacha kujibizana mambo ya kipuuzi kama haya.futa hii afu mpotezee.. na tuwapotezee wote wa aina hii
hamna kitu hapo,,,,mnatengeneza vitu for nothing,,,hamna mipango ya after 20-40yrsAliskika mwanauchumi wa ccm tawi la tandale.
Maneno ya mkosaji mwenye wivu, have you done an impact assessment report on the project to come up with your conlusion. Do you have any evidence to back up your claim. Kijana dont play politics with me.hamna kitu hapo,,,,mnatengeneza vitu for nothing,,,hamna mipango ya after 20-40yrs
kuna vitu mnakurupuka
kiukweli hata mwenyewe hilo unalijua sema unajaribu kujipumbaza tu...Maneno ya mkosaji mwenye wivu, have you done an impact assessment report on the project to come up with your conlusion. Do you have any evidence to back up your claim. Kijana dont play politics with me.