Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi niwache expressway ya 27km nije panda kidaraja. Uliskia wapi hio.
Tena unaandika kabisa 27km without fear [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

You are bragging about only 27km project with the shame price!!??? Are you serious!??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Niaje meffi, vipi leo si twende groundy isije napoteza muda na fukara la tandale.
 
Mwanza ina breweries mbili na viwanda vya soft drinks kibao Nayanza bottling, sayona, METL, na vyote vina-run profitable!
 
Vimeumana
 
Mtu kama Tony anajitambua wakati mwingine tusibishe kwa sababu ya kubisha tu,tukiwa wazi kwa mapungufu yetu ni rahisi kuyarekebisha baada ya miaka kadhaa mategemeo yangu tutakuja kuungana na kugeuza battle hii kuwa battle between East na West Africa,acha saa hii tuchapane makonde kisawasawa,kinachotakiwa tukuze uchumi wa nchi zetu na kuwekeza kwny ground kwa manufaa ya watu wetu wote.East Africa ina rasilimali nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…