Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Majibu yenu tunayangoja unadhani hatuna plan b na cMisukosuko lazima iwepo kwenye biashara na kama ni kweli yana sumu Au lah tutafahamu tu...uzuri mahindi sio nyanya kwamba yataoza msiponunua nyie.....
Tukijiridhisha yana shida tutajirekebisha lakini kama ni Figisu zisizo na mashiko Basi Tutawajibu kiukubwa
Hakuna ambae hana plan BMajibu yenu tunayangoja unadhani hatuna plan b na c
Jamaa katapika baada ya Tony254 kusema ukweli nimecheka kwa sauti jamani🤣🤣🤣Now I like your essay, well put, but without facts, a totally skewed opinion presented as facts. Learn to get your facts right before merely spewing a well documented ignorance. I agree with you on building industries n the likes, or wangejenga real estate na kuuza wangefaidika haraka, coz their objective was to generate their own income as a body, industries are good for sub Saharan Africa, however in Kisumu I guess u don't understand how industries were collapsed by Moi's regime; bad politics, kuwakata miguu for opposing him, now ndio zimeanza kufufuliwa, KBL is up and running after many years, port, airport was awakened during Kibaki's Regine, Uhuru is fixing to revive Kicomi, the sisal factory etc. Pia the story surrounding Lake basin mall ume guess tu. Do you know where it is located exactly in Kisumu? Have u been to Kisumu? haijajengwa mahali Kuna masikini, hapo umedanganya, do you know its surroundings?, and in Kenya high end malls hazijengwi penye masikini they look at the potential customers. Do you know Mamboleo area? Which estates are around that place that are in close proximity to the mall? Akina Riat Hills, several estates in Mamboleo, Kenya Re, Migosi, Lolwe, residents here are serious mall shoppers, their shopping is done at United Mall, far away on your way to CBD. Na pia masikini prefer shopping kwa supermarkets in malls coz of their cheaper prices in comparison to retail shops. For now this mall haina anchor tenant, Tuskys were to rent as the anchor tenant but family feuds collapsed the supermarket, I guess Naivas are in the pipeline. The average rent ya nyumba ya hizi estates around the mall Kama unakodisha ni 15k and above, hapo Riat it will be 50k and above. Have stayed in Kisumu, Lolwe estate to be precise, unaeza uliza swali yeyote kunijaribu to prove. Another reason Kenya's town residents prefer shopping in malls or supermarkets, it's a culture for many years, moreso Luos with their pride and as such that mall comes in handy, can't be empty. Mjaluo peleka duka ya kuuza vitu flashi utapata soko, atajikaza ata Kama hana pesa. Sasa reason ya kukua empty, first ni govt delays to open, they wanted to sell to some private investors but Nyanza politicians refused, I applauded the move ju Uhuru's friends were salivating for it. Second the road construction at Mamboleo junction has delayed, flyover at the junction ndio imeisha, imebaki stretch from the mall hadi kwa another flyover hapo kwa reli which had stalled, connecting to the mall is cumbersome, only Riat Hill residents and Mamboleo residents are very close, though driving in isn't easy yet, slow road works by the Israelis have worked against it, mall inakula vumbi sana, anchor tenant can't just move in or any other business that requires traffic. Apart from politics surrounding any govt installation, Kuna many factors, also the anti corruption body kufuatiliwa how it was build, their investigations are some of the reasons for delays etc., na interest haingoji, atleast ungepata facts from the ground before writing your opinion and presenting them as facts ama ungesema "kwa mtazamo wangu" a word have seen many Tanzanians use kwa jukwa zao when someone isn't sure of a thing or giving an opinion. Na nimependa how most of them argue apart from liars who are hiding here.
Tony254 umetoa povu la ugoro Yosef Festo as a matter of fact KBL brewery in Kisumu has not broken even till now!Jamaa katapika baada ya Tony254 kusema ukweli nimecheka kwa sauti jamani🤣🤣🤣
Hata kama ni impressive utasema wewe kwa roho yako iliyopinda kama korosho? Subiri kitu hicho kikamilike utakuwa unakuja kuji-selfy hapo toka huko kwenu porini.Unimpressive
Mimi niwache expressway ya 27km nije panda kidaraja. Uliskia wapi hio.Hata kama ni impressive utasema wewe kwa roho yako iliyopinda kama korosho? Subiri kitu hicho kikamilike utakuwa unakuja kuji-selfy hapo toka huko kwenu porini.
Miss coco nn mbona unaweweseka?Mimi niwache expressway ya 27km nije panda kidaraja. Uliskia wapi hio.
Hiyo express way inapita majini? Kila kitu kina uniqueness yake. The thing here ni kwamba hiyo Tanzanite bridge inapita majini so you can selfy ukiwa majini.Mimi niwache expressway ya 27km nije panda kidaraja. Uliskia wapi hio.
Mimi nimesoma uchumi na siongei ujinga au ignorance kama wewe unavyofanya. Ukisoma any economics textbook itakueleza jinsi kitu inachofanya nchi ziwe first world ni kujenga industries na kuproduce manufactured goods. Wewe ndio uneducated fool for thinking that Kenya can develop simply by building malls. Nionyeshe nchi yoyote iliyokuwa industrialized simply by building malls. Wewe ndio mjinga wa mwisho for arguing that Kisumu will industrialize without building industries. Tafuta rika yako wa kuargue naye mimi siko level yako. Mimi nitakuignore from now on hata ukinimention juu sina muda na ujinga wako.Now I like your essay, well put, but without facts, a totally skewed opinion presented as facts. Learn to get your facts right before merely spewing a well documented ignorance. I agree with you on building industries n the likes, or wangejenga real estate na kuuza wangefaidika haraka, coz their objective was to generate their own income as a body, industries are good for sub Saharan Africa, however in Kisumu I guess u don't understand how industries were collapsed by Moi's regime; bad politics, kuwakata miguu for opposing him, now ndio zimeanza kufufuliwa, KBL is up and running after many years, port, airport was awakened during Kibaki's Regine, Uhuru is fixing to revive Kicomi, the sisal factory etc. Pia the story surrounding Lake basin mall ume guess tu. Do you know where it is located exactly in Kisumu? Have u been to Kisumu? haijajengwa mahali Kuna masikini, hapo umedanganya, do you know its surroundings?, and in Kenya high end malls hazijengwi penye masikini they look at the potential customers. Do you know Mamboleo area? Which estates are around that place that are in close proximity to the mall? Akina Riat Hills, several estates in Mamboleo, Kenya Re, Migosi, Lolwe, residents here are serious mall shoppers, their shopping is done at United Mall, far away on your way to CBD. Na pia masikini prefer shopping kwa supermarkets in malls coz of their cheaper prices in comparison to retail shops. For now this mall haina anchor tenant, Tuskys were to rent as the anchor tenant but family feuds collapsed the supermarket, I guess Naivas are in the pipeline. The average rent ya nyumba ya hizi estates around the mall Kama unakodisha ni 15k and above, hapo Riat it will be 50k and above. Have stayed in Kisumu, Lolwe estate to be precise, unaeza uliza swali yeyote kunijaribu to prove. Another reason Kenya's town residents prefer shopping in malls or supermarkets, it's a culture for many years, moreso Luos with their pride and as such that mall comes in handy, can't be empty. Mjaluo peleka duka ya kuuza vitu flashi utapata soko, atajikaza ata Kama hana pesa. Sasa reason ya kukua empty, first ni govt delays to open, they wanted to sell to some private investors but Nyanza politicians refused, I applauded the move ju Uhuru's friends were salivating for it. Second the road construction at Mamboleo junction has delayed, flyover at the junction ndio imeisha, imebaki stretch from the mall hadi kwa another flyover hapo kwa reli which had stalled, connecting to the mall is cumbersome, only Riat Hill residents and Mamboleo residents are very close, though driving in isn't easy yet, slow road works by the Israelis have worked against it, mall inakula vumbi sana, anchor tenant can't just move in or any other business that requires traffic. Apart from politics surrounding any govt installation, Kuna many factors, also the anti corruption body kufuatiliwa how it was build, their investigations are some of the reasons for delays etc., na interest haingoji, atleast ungepata facts from the ground before writing your opinion and presenting them as facts ama ungesema "kwa mtazamo wangu" a word have seen many Tanzanians use kwa jukwa zao when someone isn't sure of a thing or giving an opinion. Na nimependa how most of them argue apart from liars who are hiding here.
Hiyo express way inapita majini? Kila kitu kina uniqueness yake. The thing here ni kwamba hiyo Tanzanite bridge inapita majini so you can selfy ukiwa majini
You badly crave my attentionMiss coco nn mbona unaweweseka?
Sisi tutapita bure vipi kuhusu nyie pia mutapita bure???🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi niwache expressway ya 27km nije panda kidaraja. Uliskia wapi hio.
Muulize yeye atapita bure kama sisi 🤣🤣🤣Hiyo express way inapita majini? Kila kitu kina uniqueness yake. The thing here ni kwamba hiyo Tanzanite bridge inapita majini so you can selfy ukiwa majini.
Geza Ulole kimeumana 🤣🤣🤣🤣🤣Mimi nimesoma uchumi na siongei ujinga au ignorance kama wewe unavyofanya. Ukisoma any economics textbook itakueleza jinsi kitu inachofanya nchi ziwe first world ni kujenga industries na kuproduce manufactured goods. Wewe ndio uneducated fool for thinking that Kenya can develop simply by building malls. Nionyeshe nchi yoyote iliyokuwa industrialized simply by building malls. Wewe ndio mjinga wa mwisho for arguing that Kisumu will industrialize without building industries. Tafuta rika yako wa kuargue naye mimi siko level yako. Mimi nitakuignore from now on hata ukinimention juu sina muda na ujinga wako.
Finally, Kisumu naijua vizuri. I was born in Kisumu and grew up in Kisumu for the first 10 years of my life. Bado nina relatives wengi Kisumu na kila mwaka lazima niende Kisumu kuwatembelea.
Hua unanifurahisha sana tony wakat mwengine unaongea vzr kama msomi asante🤝🤝 achana na huyo kilaza hajuia anything yeye anachojua ni chuki na roho mbaya kwa kitu chochoteMimi nimesoma uchumi na siongei ujinga au ignorance kama wewe unavyofanya. Ukisoma any economics textbook itakueleza jinsi kitu inachofanya nchi ziwe first world ni kujenga industries na kuproduce manufactured goods. Wewe ndio uneducated fool for thinking that Kenya can develop simply by building malls. Nionyeshe nchi yoyote iliyokuwa industrialized simply by building malls. Wewe ndio mjinga wa mwisho for arguing that Kisumu will industrialize without building industries. Tafuta rika yako wa kuargue naye mimi siko level yako. Mimi nitakuignore from now on hata ukinimention juu sina muda na ujinga wako.
Finally, Kisumu naijua vizuri. I was born in Kisumu and grew up in Kisumu for the first 10 years of my life. Bado nina relatives wengi Kisumu na kila mwaka lazima niende Kisumu kuwatembelea.
Why are you abusive yet the fellow isnot provacative, its never that serious. Take a deep breathe there is no winner or loser here.Mimi nimesoma uchumi na siongei ujinga au ignorance kama wewe unavyofanya. Ukisoma any economics textbook itakueleza jinsi kitu inachofanya nchi ziwe first world ni kujenga industries na kuproduce manufactured goods. Wewe ndio uneducated fool for thinking that Kenya can develop simply by building malls. Nionyeshe nchi yoyote iliyokuwa industrialized simply by building malls. Wewe ndio mjinga wa mwisho for arguing that Kisumu will industrialize without building industries. Tafuta rika yako wa kuargue naye mimi siko level yako. Mimi nitakuignore from now on hata ukinimention juu sina muda na ujinga wako.
Finally, Kisumu naijua vizuri. I was born in Kisumu and grew up in Kisumu for the first 10 years of my life. Bado nina relatives wengi Kisumu na kila mwaka lazima niende Kisumu kuwatembelea.