Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

 
Kwani ni mm niliopiga kura?? Unanilaumu mm waiopiga kura ni hao hao wazungu hususan watalii wanaoijua vyema zanzibar na maritius [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usinilaumu mm na hakuna haja ya kulia sasa
Beaches na starehe za kipwani, zaidi ya hapo hamna lolote to level with Seychelles., Pole sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
 
Beaches na starehe za kipwani, zaidi ya hapo hamna lolote to level with Seychelles., Pole sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
Hebu taja kitu kimoja kua seychelles kipo zanzibar hakuna nataka kuskia kwako 🤣🤣
 

kumbe yanayopitia mpaka wa horohoro yanapelekwa sudan et?
 
Hebu taja kitu kimoja kua seychelles kipo zanzibar hakuna nataka kuskia kwako [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]I don't subscribe to your 'feel good' argument na reasons uchwara [emoji28][emoji23][emoji23], huwezi linganisha mbingu na jehanamu, ama kuchanganya maji na mafuta[emoji28][emoji23][emoji23], Seychelles the most developed country in Africa with European standards of living utalinganisha na Zanzibar wewe[emoji28][emoji23][emoji23]., Just beach and hotels for holidays, na ni for tourists not locals[emoji28][emoji23][emoji23]


Beaches na hotels means nothing in reality.[emoji28][emoji23]
 
Siku 3 zimepita tani 510 duh, hawa kweli tunawalisha
 
Unajua anafikiri umeuliza kama kuna media yoyote mombasa, hajui kwamba wewe unamaanisha magnitude.
Sahara media imecover tanzania nzima mpaka na nchi za jirani including kenya.
Hiyo pwani TV ndio naisikia Leo na nafikiri haiwezi kuifikia hata barmedas TV ya mza pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…