Mbona hujajibu swali langu, passenger terminal ya airport inamsaidia vipi mwananchi wa chini..Wamejengewa terminal building kwa ajili ya kuuza samaki na biashara za aina zote kama modern market pale pale airport [emoji3][emoji116][emoji116] fungua hii video
Nionyeshe 8 lane hapoKumbe hata arusha ipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe ndio hvo munahesabu lanes[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1718936
Mombasa ina oil refinery, oil terminal, criuise ship terminal na pia vile vile kuna makampuni ya kumwaga..Wapi daraja kama la Mwanza au wapi gold refinery Mombasa? BTW unajua daraja la Mwanza litakuwa na interchange kama Nyerere bridge la gharama yake inajenga hiyo highway yote!
Asa mbona ina tengeneza ambayo hapo Mombasa pia haipo na ni ndoto kuwa nayo, kuna daraja refu EA mzima, international bus terminal mbili under instruction,mwanza international airport ambayo ni zaidi ya Mombasa international airport na miradi mikubwa kibao,kuhusu interchange mwanza haina foleni kabisa n tz tunafanyaga mirad yenye tija tu sio kuiga igaTuonyeshe picha kama hii Mwanza. Huwa mumekosa adabu kulinganisha Mombasa na Mwanza. Mombasa ina interchanges, ina underpasses, ina over-passes, ina biggest port in EA. Ina one of the biggest airports in EA. Second biggest city yenu Mwanza sidhani kama ina miradi za barabara kama hii.
Nimekwambia fungua hii video pembeni ya terminal kuna market ya kisasa ya samaki imejengwa hapo na mauzo ya aina yote ya mazao 🤣🤣🤣👇👇👇 unakwama wapiMbona hujajibu swali langu, passenger terminal ya airport inamsaidia vipi mwananchi wa chini..
Swali rahisi we bado unaruka ruka hapa nkm mombasa hakuna masoko
Huoni unajitia uchizi au 🤣🤣🤣🤣 lini mombasa ikawa na 8 lanes 😂😂😂😂😂 tunakazi mwaka huuuNionyeshe 8 lane hapo
Kipi hapo mombasa hakuna, manake naona umejipiga piga mpka mwisho wa insha ukaamua kujijibu kiaina..Asa mbona ina tengeneza ambayo hapo Mombasa pia haipo na ni ndoto kuwa nayo, kuna daraja refu EA mzima, international bus terminal mbili under instruction,mwanza international airport ambayo ni zaidi ya Mombasa international airport na miradi mikubwa kibao,kuhusu interchange mwanza haina foleni kabisa n tz tunafanyaga mirad yenye tija tu sio kuiga iga
Kwamba tuingie darasani upya au sio [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]Nionyeshe 8 lane hapo
Kwahiyo Mombasa nayo ina ndoto za kupitiwa na electric sgr [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]Kipi hapo mombasa hakuna, manake naona umejipiga piga mpka mwisho wa insha ukaamua kujijibu kiaina..
Humo humo kw passenger airport terminal ndipo panauzwa samaki sio ndio manake rai wa chini wanafaidika...Nimekwambia fungua hii video pembeni ya terminal kuna market ya kisasa ya samaki imejengwa hapo na mauzo ya aina yote ya mazao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116] unakwama wapi
Yani hii mijitu ni mijinga sijui ya wapi mtu anaforce mti uwe nyumba 😆😆😆😆Kwamba tuingie darasani upya au sio [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]View attachment 1718944
Nihesabie hzo 8 lanes hapoKwamba tuingie darasani upya au sio [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]View attachment 1718944
Pembeni ya passenger terminal imejengwa modern market ya samaki na mazao mengine na ni kubwa sana ingia humu ndani mzee🤣🤣🤣👇👇👇 kwann unapata shidaHumo humo kw passenger airport terminal ndipo panauzwa samaki sio ndio manake rai wa chini wanafaidika...
Sasawa jomba, endelea kubishaee mpka kesho huku ukikwepa swali..
Manake umesema nyie miradi yenu inagusa watu wa chini mpka kabisa bila ya aibu unataja passengers terminal ya airport..
Kwaheri
Electric sgr ni nn jomba, emu nijuzeKwahiyo Mombasa nayo ina ndoto za kupitiwa na electric sgr [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
So unahesabu na barabara za kuingia na kutoa kwenye lanes 😅😅😅 ndio mulifunsihsea kuhesabu hvoNihesabie hzo 8 lanes hapo
Kafute passengers airport terminal kw comment yako unajiabisha..Pembeni ya passenger terminal imejengwa modern market ya samaki na mazao mengine na ni kubwa sana ingia humu ndani mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116] kwann unapata shida
Hapa inaingilia wapiSo unahesabu na barabara za kuingia na kutoa kwenye lanes [emoji28][emoji28][emoji28] ndio mulifunsihsea kuhesabu hvo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mm nakupa ushahidi unasema najiabisha bro 🤣🤣🤣👇👇Kafute passengers airport terminal kw comment yako unajiabisha..
So njia za kutoa na kuingia na zenyewe munahesabu kwenye lanes 🤣🤣🤣 ama kwei muna safari ndefu sanaHapa inaingilia wapiView attachment 1718945
Unapost kipande hicho mbona hupost na hii ukaumbukaHapa inaingilia wapiView attachment 1718945