Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa mna njaa hivi na mnavimba au mnatishia kujamba wakati mnaharisha!!!!

sijui uganda kama watapata maamuzi,ila sisi wacha tuongeze sauti,mpaka nyuma kule mtacheza mziki[emoji23][emoji23][emoji23].na mnatujua.
Always clueless and pointless bongolalas, can't just reason[emoji28][emoji23][emoji23], amka kumekucha, jipange kibinafsi, CCM is a scam[emoji28][emoji23]
 
Always clueless and pointless bongolalas, can't just reason[emoji28][emoji23][emoji23], amka kumekucha, jipange kibinafsi, CCM is a scam[emoji28][emoji23]
kuna mwenzako kakimbia humu baada ya kupost pesa za wenyewe akidai ni za kwake[emoji16][emoji16][emoji16].

nyinyi tumewazoea na kelele mob,ground ni masikini wa kutupwa.
 
kuna mwenzako kakimbia humu baada ya kupost pesa za wenyewe akidai ni za kwake[emoji16][emoji16][emoji16].

nyinyi tumewazoea na kelele mob,ground ni masikini wa kutupwa.
Am not anyone, nasimama kama mwanaume na kuwaambia ukweli hata kama hampendi, mmezoea propaganda, did you read the hunger index report? Yaani mko ovyo why don't you people just sit down one day and try to reason? Mko busy kutetea upuzi humu kila uchao[emoji848][emoji848] mnatia huruma sana [emoji23]
..just a glimpse of the report, google for full report, well researched..,
 
hunger index kama inakufurahisha,mimi nani wa kukuondolea furaha hiyo???

endelea kufurahi ila sisi jukumu letu ni kukupiga spana,usipoelewa leo kwa kutusoma,utakuja kuelewa wakati mwingine hata kwa kujionea.

kama gunia la mahindi kenya mnauziwa 3500ksh,halafu unahoji urahisi wa maisha kati ya mtz na mkenya!!!hapa tz mahindi mpaka elfu 2000ksh.unajisifu kwamba wewe uko vyema[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kitu ambacho kinafanya mchukiwe ni huu usenge wenu wa kudharau wengine kwa maneno ya dharau na kejeli wkt nyie ni maskini wa kutupa, kwanini unatumia maneno ya dharau kama "poor farmers from Uganda" ungetumia maneno kama "Cheap maize from Uganda" kwn tusingeelewa? Nyie watu ni ******* sn na msio na adabu na wenye laana za mababu mlizoachiwa na Kenyatta Sr.

Btw, hizo kelele zenu tunajua hazitofika mbali cz hamna uwezo wa kuhimili vishindo, huwa mnapenda kujitegemea ila ndo hvyo uwezo hamna lazima mtapiga magoti as usual, tunawajua nchi yenu na viongozi wenu mna umalaya malaya fulani ktk DNA zenu kwa kutoa maagizo msiyoweza kuyatimiza, hii ingekuwa Tz ni kweli usingeona importation ya hayo mazao km tulivyowafanyia kwenye bidhaa zenu za maziwa, but nyie hamuwezi cz hamna uwezo huo kiuchumi na kijamii.
 
Source by who? Mmebaki kujifurahisha na vi report mnavyotengeneza wenyewe ili kujipa furaha, ukiiangalia tu kwa jicho jepesi utagundua imetengenezwa na mkenya. Kama report inahusu food insecurity ss inakuwaje ianze comparison between Tz and Kenya, alafu eti "despite Kenya being poor but it performed better than Tz"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Yani Wakenya mmepagawa na Tz usiku na mchana mnaiwaza Tz kwa kuichafua mitandaoni mpk mnajisahau kupambania nchi yenu iliyooza.

We uliona wapi nchi isiyohitaji msaada wa chakula ikashindwa na nchi inayoomba chakula kulisha wananchi wake? Does it sound into your big and empty skull [emoji3517][emoji88]?
 
Mkunya sio mstaarabu asikwambie mtu nimeshasema mara nyingi amejaaliwa roho ya husuda,ukitaka dharau,majivuno ya kijinga na etc kaa naye utamuelewa tu, huaga wanaona wako special kushinda wote🙂
 
ASA Ku practise utapeli wa kibiashara ni Jambo la kujivunia kweli jirani?🙂
Alafu uko proud kuandika huo upuuzi eti mnanua mahindi bei ya Chini mnauza almost triple price huoni ni laana kubwa mnazidi kujiwekea🙂?mnakandamiza mkulima alafu mdakandamiza na mwanachi ambaye ana nunua final product ambayo ni maize flour kwenye maduka na supermarket zenu?mtazidi kujisifia kwenye mitandao na platforms nyingi Ila kiukweli nyie sio wastaarabu na hamna hofu na mwenyez mungu mtakuja kuishia pabaya 🙂time will tell.
 
Kama phase 2 inaisha Feb 2022 basi huu mwaka kabla haujaisha lazima itangazwe tenda nyingine kuwe kuna mkopo au la.
Tukibanwa sana hata tenda ya tabora - isaka ambayo ni fupi itatangazwa
Mwezi wa 5-6 itatangazwa tenda ya Makutopora-Isaka. Na kwa ile kongole aliyotoa rais wa benki ya Afrika Dr. Adesina bhas karibuni Isaka-Kigali itatangazwa pia maana ilikuwa kwenye mpango wa kuchukua mkopo wa pamoja kati ya Rwanda na Tz. So hadi mwaka huu kuisha kila kitu kitakuwa tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…