Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu nmekamata mtu leo, mzigo huu hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Wakuu nadhani mnazidi kujionea maisha halisi ya Wakenya, kuna cku Nicxie naye aliingia cha kike kama huyu fala wa leo, yn humu ndani mkenya ambaye kdg unaweza kumuamini ni Tony254 basi hawa wengine hawa kuwa nao makini sana.


Ila leo Teargass umenchekesha sn wallahi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Accepting the truth will set you free from frustrations, anger, jealous and irresponsibility. JUST LEARN TO ACCEPT THE TRUTH.
 
Na wewe siku hizi umeanza kuwa mtunzi wa mashairi (lyrics) za taarabu? 😃 😃 😃
 
Duuuh aibu nimeskia Mie[emoji846]
Sio kwa kutuongopea huko[emoji2][emoji2][emoji2]
Atakachokifanya sahizi anahangaika kuomba kitu cha thamani chochote ili afute hii aibu but km sio chako sio chako tu na tutajua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Atakachokifanya sahizi anahangaika kuomba kitu cha thamani chochote ili afute hii aibu but km sio chako sio chako tu na tutajua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna kitu kibaya kama kuishi maisha ambayo Sio yako Namshukuru mungu kwa Neema ya uzima na kuzaliwa Tanzania 🙂
Sisi maisha huaga hatu force kama bamia au dagaa chukuchuku yote riziki kutoka kwa Mungu🙂
Wakenya wengi wanapenda maisha ya show Sana🙂
 
Teargass leo nimekudharau sana.

Kwahiyo ndo kusema kwamba huu mpunga wako au sio [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]View attachment 1714762
kwa pamoja tusikitike 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
NO!wait a minute 😂😂😂😂😂😂😂bwaahahahahaaaahahahahaahahaa😢😢😓😰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…