Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utaendelea kuleta picha za Kibera hadi lini wewe bongolala? Hata huoni aibu kwamba umebadilisha mada Kutoka Dar vs Nairobi to "Dar vs Kibera"?
Itawachukua miaka mia moja kufikia this level of planning

Bonus track 😂 😂
 
Jamaa hujawahi kuwa na option zaidi ya kupost apartments zilizopigwa upande upande yn kila siku unapost hz hz hujistukii kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jamaa hujawahi kuwa na option zaidi ya kupost apartments zilizopigwa upande upande yn kila siku unapost hz hz hujistukii kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
You wanted me to show you planning, and I have. Hasira ni ya nini sasa? Najua inakuuma vilivyo! Pole baba, mtafika tu siku moja usijali 😂 😂.

Wewe ulishaacha kuleta picha za kibera usiku na mchana kulinganisha na Dar?
 
Ebu angalia venye chini ya TPA ni chafu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. Alafu Britam is not concrete.



Please compare and contrast.View attachment 1714074View attachment 1714076
Hapo TPA ndipo inapoanza BRT phase 2 ikiunganishwa na phase one,ni kama 100m tu unakutana na phase one na construction board ya phase 2 hii ndo inayoenda kuwa inter linked na Dar es Salaam SGR terminus kutoka TPA na hapo ni kama mita 150 tu uko kwa Tanzanite. Done.
 
99% ya barabara za Dar is slum CBD are not marked[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]View attachment 1714080
Hapo chini inapita BRT phase 3 inaenda kuunganishwa na phase one sehemu mbili way to ferry na akiba pale CBE/DIT ikikimbia kuelekea Airport mradi upo kwny kumtafuta mkandarasi sema COVID imezingua sana tender imetangazwa almost mara tatu
 
Teargass lete sehemu nyingine niku-update baada ya miaka mitano mkatafute eneo jingine la kushindana nalo kwa Dar es Salaam mtakuwa mshafeli kbs na Ilala ilivyopandishwa hadhi tegemeeni mabadiliko makubwa sana pale katikati ya mji maana sasa Ilala haitashea pato lake la ndani na maeneo mengine ni muda wake mwafaka wa kujijenga kutoka kwny miundo mbinu mpk huduma za kijamii ili liwe jiji la mfano East Africa na Africa kwa ujumla wake.
 
. Oya The best 007 jirani kachoma uku . round moko tu walete mammaae
Hahahahahaa kwenye huu mchezo hawatuwezi Mana cc tuna nguvu kutokana na misosi mizuri tunayokula but Wakenya wengi wana malnutrition, Wakenya wote oneni hapo juu jinsi huyo chokoraa alivyowatia aibu [emoji3516][emoji3516][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji86][emoji205]
 
Dar wakifika huku nafunga account, for now nasoma tu Kiswahili humu, no meaningful response kabisaa, vijisababu tu, na kujarabu kuponda Kenya from cherry picked negative news ili wajipe matumaini,[emoji28][emoji28][emoji1787] am still waiting to see any answer to level..,[emoji848][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…