Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tetete, the pinnacle together with the Monster 6 towers of Avic international then add the pimped Montave..... joburg ni bye bye, Nairobi takes the lead!!
 
Ukishaona mtu anatype kwa Herufi kubwa kama wewe. Mara nyingi huwa darasa halipo.
Hivyo basi, ukiona mada kama hizi kaa pembeni waache wabobezi wajadili kwa hoja.
 

hii design ya zamani?....wewe una kichaa...sema Tiomes Towers ndio ina design ya zamani ila ni ya miaka ya 1980s kule..kwa hiyo tunaelewa....ona usiku...yannni kameremeta kama nini
Times Tower ya miaka 1980[emoji15]

Acha kutudanganya Wewe, Jengo limeidha karibu na 2000.

Wakati wa zile Bombs halikuwa na miaka miwili likiwa completed haujui hata nchi yako[emoji12]
 
britam ni ushamba? naona sindano imeingia kwel kwel....hehe....yaani tallest building in east africa...in fact nairobi ina first, second thrird and fifth buildings in east africa...nyie mna vibanda hapo mnaita mijengo....hehehehe
Tallest building na mnara wa 60m ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Hata aibu huoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ