ya kila sehemu room inakaa kwa bei yake huwezi ukakaa nnje ya mji halafu mtu akakupangisha kwa 30.We kw kupinga hujambo[emoji1787][emoji1787]
Kuna video mlileta hapa siku hyo, eti sijui mtaa gani umepanda bei kisa siku hzi hakuna vyuma vya 25k tsh nikuanza 30k..
Yani nilishangaa sana
Linganisha hiyo quality na hii hapa[emoji846][emoji116][emoji116]90% of Tanzanian roads are not marked.
View attachment 1711288View attachment 1711289View attachment 1711292
mazingira mabovu...[emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1]We Acha mkuu nlikuwa na Kaka mmoja tumeenda Kula ana roho ndogo Sana tuliairisha Kula ikabidi tuagize juice zetu[emoji846]
Tuonyeshe hapo mliposhindwa kula, au picha ndio umeshindwa kupiga pia[emoji1787][emoji1787]We Acha mkuu nlikuwa na Kaka mmoja tumeenda Kula ana roho ndogo Sana tuliairisha Kula ikabidi tuagize juice zetu[emoji846]
Deal kwanza na issues zenu za Unmarked roads na uchafu DSM sio level yenu amigo[emoji846] [emoji846][emoji846]View attachment 1711336This is the reason why Tanzanians don't always show ground pictures of their CBD. Angalieni uchafu[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116].View attachment 1711294View attachment 1711295
30k tsh huku utarudi nazo, ndio tunawaambia hapa kila siku kenya kuna urahisi wa kupata pesa kuliko tzya kila sehemu room inakaa kwa bei yake huwezi ukakaa nnje ya mji halafu mtu akakupangisha kwa 30.
ukiona hivyo uko chaka ni mbali saana na mji kiasi cha kwamba unapata daladala nne nne kufika town
Ndioo sema kuna picha zingine Noma kupiga hata simu yangu inaweza kuchanganyikiwa🤣🤣🤣kwa uchafu🤣🤣mazingira mabovu...[emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1]
Jamaa anachagua sehemu za kupiga picha[emoji1787][emoji1787]naona unaogopa sana kupiga picha kiumeDeal kwanza na issues zenu za Unmarked roads na uchafu DSM sio level yenu amigo[emoji846] [emoji846][emoji846]View attachment 1711336View attachment 1711337
Je hapa napo[emoji1787][emoji1787]I agree with you [emoji846][emoji116][emoji116][emoji116]
Kuna mmoja yupo nairobi ametoka hoteli anahangaika kuchagua sehemu za kupiga picha..kwanza cbd anaiogopa sio mchezoThis is the reason why Tanzanians don't always show ground pictures of their CBD. Angalieni uchafu[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116].View attachment 1711294View attachment 1711295
Kwenda Kula mbona kitu cHa kawaida tu mpaka nipige mapicha ya fast food 🙄tulitaka Kula Kilimanjaro ya opposite jamia Ila basi tu🙂Tuonyeshe hapo mliposhindwa kula, au picha ndio umeshindwa kupiga pia[emoji1787][emoji1787]
We km nairobi level yako ni kwenye slums kaba tu
Ya lini hii picha?alafu hapo ni wapi dar?Je hapa napo[emoji1787][emoji1787]View attachment 1711342
Mbona kutembea wapiga[emoji1787]Kwenda Kula mbona kitu cHa kawaida tu mpaka nipige mapicha ya fast food [emoji849]tulitaka Kula Kilimanjaro ya opposite jamia Ila basi tu[emoji846]
Deal nikupiga picha sehemu mbaya Nairobi we ukija dar kama Una huo uwezo tafuta slum upige picha live🙂Jamaa anachagua sehemu za kupiga picha[emoji1787][emoji1787]naona unaogopa sana kupiga picha kiume
Dar km darYa lini hii picha?alafu hapo ni wapi dar?
Bwahahaha!!unajitesa kw kutembea maskini[emoji1787][emoji1787]utatoka matege nenda kibera ukapige uje uwaliwaze wenzako manake kwngine mpka uchague sanaDeal nikupiga picha sehemu mbaya Nairobi we ukija dar kama Una huo uwezo tafuta slum upige picha live[emoji846]
Hapa ni mbali na Moi Avenue. Hii ni barabara enye iko katikati ya River road.Linganisha hiyo quality na hii hapa[emoji846][emoji116][emoji116]
Nyuma ya moi avenue city centre [emoji846]maana Mimi nipo kwa ground sema mda wa kutosha ndo sina Ila tutaona nani msema kweli[emoji846]View attachment 1711329View attachment 1711330
Naona Una njaa Sana🙂alafu hatukuenda Kula gomora 🙂au unataka nikualike lunch 🙂Mbona kutembea wapiga[emoji1787]
Ungelipiga picha utuonyeshe ulipoenda kula
Anataka kufurahisha wenzakeHapa ni mbali na Moi Avenue. Hii ni barabara enye iko katikati ya River road.
Jamaa alienda kwa vibanda vya country bus[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. Huyo hana pesa ya kuafford hoteli za Nairobi[emoji23][emoji23][emoji1787]Tuonyeshe hapo mliposhindwa kula, au picha ndio umeshindwa kupiga pia[emoji1787][emoji1787]
We km nairobi level yako ni kwenye slums kaba tu