Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Over how. Mbona umepost matope tu yaliyounganishwa!? Tunataka elegant glass buildings. Sasa mwenzangu unatupia chohote uonacho na kujipa marks. Huo ni ushamba dogo.
britam ni ushamba? naona sindano imeingia kwel kwel....hehe....yaani tallest building in east africa...in fact nairobi ina first, second thrird and fifth buildings in east africa...nyie mna vibanda hapo mnaita mijengo....hehehehe
 
wacha perepere mingi...leta picha za mijengo mingine apart from hizo tatu ziko kwa CBD....yaani mijengo mbili tatu tu....that is just like westlands pekee yake...bila upperhill naC BD
Wewe ndiye unaleta udaku hapa. Tunaongelea only five elegant glass buildings wewe unaleta nyumba za matope zilizofungwa vimulimuli. Sasa mwenzangu hayo matope wapi na wapi kama siyo shamba ni nini?
 
Kwahiyo ndiyo umemaliza hivyo to. You must be kidding.
Majengo uliyopost ni mabaya mno.
hii ndio ubaya ya mbongolala. unaleta mada mwenyewe, unalemewa, unaanza kuvuruga mada. tangu lini mchezaji akawa refferee? 😀 😀 😀
 
britam ni ushamba? naona sindano imeingia kwel kwel....hehe....yaani tallest building in east africa...in fact nairobi ina first, second thrird and fifth buildings in east africa...nyie mna vibanda hapo mnaita mijengo....hehehehe
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Wewe ndiye unaleta udaku hapa. Tunaongelea only five elegant glass buildings wewe unaleta nyumba za matope zilizofungwa vimulimuli. Sasa mwenzangu hayo matope wapi na wapi kama siyo shamba ni nini?
vyumba vya matope??? i am done...😀😀😀😀😀
 
britam ni ushamba? naona sindano imeingia kwel kwel....hehe....yaani tallest building in east africa...in fact nairobi ina first, second thrird and fifth buildings in east africa...nyie mna vibanda hapo mnaita mijengo....hehehehe
But design yake ni ya kishamba. Design ya kizamani. Jengo limebandikwa cement lote kuanzia chini mpaka juu!!? Limewekewa antenna ndeefu utadhani kipindi cha ukoloni. Modern buildings haziko hivyo ndugu yangu. Leta hapa glass buildings siyo hayo matope.
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
tumia akili wewe buda...nimesema tallest in africa ama east africa?...kisha kwa taarifa yako, the second tallest in africa is in nairobi...the fourth tallest is also in nairobi...use google a litlle...
 

hii design ya zamani?....wewe una kichaa...sema Tiomes Towers ndio ina design ya zamani ila ni ya miaka ya 1980s kule..kwa hiyo tunaelewa....ona usiku...yannni kameremeta kama nini
 
the pinnacle will beat all the buildings in all of africa...woooooo!!! we be killin em
 
the pinnacle will beat all the buildings in all of africa...woooooo!!! we be killin em
 
vyumba vya matope??? i am done...😀😀😀😀😀
Tatizo lako unarukia rukia vitu. Hapa tunaenda kwa utaratibu wewe unakuja na mbwembwe nyingi kama umetoka usingizini kuota uko paradiso. Tunataka majengo mazuri ya glass. Sasa wewe unaleta majengo yaliyobandikwa matipe mekundu sasa sisi tukuoneje! Kama siyo kukuita ni mshamba aliyekubuhu. Kwikwikwi. Usilie lakini ndiyo dunia hiyo.
 
the pinnacle will beat all the buildings in all of africa...woooooo!!! we be killin em
Wewe jamaa ni mshamba sana. Unaongelea future, hivi unadhani nchi zingine zimelala siyo. Tatizo dogo huna exposure, unadhani hapo nairobi ndio mwisho wa dunia yote.
Fumbua macho na uelimike kisha uondoe ushamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…