Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza mfereji ndio nini?
Sisi hatuna mfereji tuna tap water mpaka chooni
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Dar is slum hii moja? sasa we will stick to English., Kiswahili iko na wenyewe, lugha ya kizembezembe, vile Mombasa na Dar walivyo, tafadhali, naomba, shikamoo, etc., ya adabu pia..,(Tz yote btw, slow and laid back)
 
Pumbavu wewe kiswahili fasaha ni bomba la maji, mfereji/mtaro ni open water channel kunyesha mashamba au roads side channels
 
Mfereji ni water flowing through gradient in an open artificial source like in an irrigation water system! Or water supply canals in towns/cities during medival era!

This is mifereji!


Wakenya wa bara kiswahili chetu ni kibovu. Huku huwa tunaita bomba kwamba ni mfereji.
 
wacha kumpotosha mwenzako kwa kujifirahisha binafsi dar hakuna kupanga m\foleni ya madumu ya maji hayo maisha tulishatoka huko.....

kwenye swala la upatikanaji wa maji usilinganishe dar na nairobi hata siku moja...unajifurahisha kizembe mzee[emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]
 
Mwenzake ni takataka kama yeye kwa hiyo anakubali tu kupotoshwa kumbe lengo la mwenzake kupotosha ni ili ajifariji [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pumbavu wewe kiswahili fasaha ni bomba la maji, mfereji/mtaro ni open water channel kunyesha mashamba au roads side channels
Wewe unajua kiswahili ni kigumu kwa Wakenya. Bakini na kiswahili chenu sisi wacha tujikite kwenye Kizungu.
 
Exactly what Kenyan water companies does., then unalipa to connect into your house. Shida ni flow ya maji, not connectivity.
hakuna cha flow ya maji wala nini wacha kujipotosha pia wacha kujipa maneno ya kizembe yanayodhihirisha ukapuku wako,,,,

flow ya maji imefanya nini,kwanini iwe flow ya maji miaka yote hiyo....?...

na kinachonifurahisha wakenya huwa mkinya hamtawazi huwa mnatumia paper of magazine hiyo yote sababu ya ukossfu wa maji...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenzake ni takataka kama yeye kwa hiyo anakubali tu kupotoshwa kumbe lengo la mwenzake kupotosha ni ili ajifariji [emoji23][emoji23][emoji23]
iko hivyo nimecheka sana,,,huyo jamaa aliwahi kuumbuka huwa anaropokaga tu,,aliwahi sema kuwa kenya ina engeneers wengi kuliko tz akapigwa za uso akapotea .....
ni kilaza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyie waKei wachawi sana. Mmemloga Magu wetu analivunja jiji la Dar...

Kuanzia sasa huu uzi itabidi iwe Nairobi Vs Ilala....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni noma dar itabaki kuwa dar ila alichofanya ni anataka kupunguza idadi ya madiwani maana wengi wapo tu hawana tija wanakula tu posho za bure anataka watu wachache ili pesa zilizokuwa zikipotea kwa madiwani ziingie kwenye miradi
 
iko hivyo nimecheka sana,,,huyo jamaa aliwahi kuumbuka huwa anaropokaga tu,,aliwahi sema kuwa kenya ina engeneers wengi kuliko tz akapigwa za uso akapotea .....
ni kilaza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
99.99% ya anachokiandika humu ni pumba [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pumbavu wewe kiswahili fasaha ni bomba la maji, mfereji/mtaro ni open water channel kunyesha mashamba au roads side channels
I dont understand Kiswahili fully, but I know my points have been perfectly driven home even though... na mpumbavu ni wewe mwenyewe. Kumbe hauna copy.,
myopic reasoning hapa. Zaidi ya pua nothing. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ **Dar mashambani.,
 
Kajiue

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…