Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi hata 50% hamfiki sababu wananchi wote wapo kwenye slums
CCM at its bestπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, post this nonsense kwa habari na hoja mchanganyiko uone moto kwa wapenda ukweli na wako na factsπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hivyo wewe unachokora maisha ya watu kwenye mitandao?
 
CCM at its bestπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, post this nonsense kwa habari na hoja mchanganyiko uone moto kwa wapenda ukweli na wako na factsπŸ˜‚πŸ˜‚
Slums zimeelemea mifumo ya maji Nairobi's
Ndio maana mmeweka mamia ya boreholes sababu maji hayaingii kwenye chochoro za slums, Dar tapwater is everywhere
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Nimeupdate library yangu recently, yaani saivi natoa vitu latest HD vyote konki πŸ˜…πŸ˜…

Slums zimetaradadi
Hahaha. Ulikuwa umepotea kumbe hio ndio kazi uliokuwa ukifanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…