Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Moi Avenue ni main road eti? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .,kwako hiyo n main street? unajiaibisha kaka., sasa Mwanza wapi na wapi?., ameweka many streets, wacha za ovyo, na hizi sio the main street ya Mombasa.,, si unajua Mombasa, nionyeshe the main street kwa hiyo clip., iko partly kwa aerial view, na si hii umeweka
 
Mm nimeona hii hapa katembea main road ya CBD kwisha wapi street za mombasa tuone tucheke kidogo πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡






Sisis tunataka kuona mamabo kama hya bwana πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Kwanza angalia inavoitwa moi avenue road sijawah sikia inaitwa moi avenue streetπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Hio ni main road ya CBD mombasa hakuna asiejua hata mtoto wa miaka miwili sisi tunataka kuona streets kama hii uliopost mwanzo nimecheka leo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Sisi tunataka kuona streets kama hzi Yosef Festo hakuna kitu utanidanganya mm mombasa mark my words utake usitakeπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Huwa wanasema kwamba hii picha sio ya Dar. Mimi mwenyewe nimewahi kusema hapa kwamba middle class areas za Dar zinafanana vibaya kushinda Favela za Sao Paulo, Brazil.
We nae kwa kukurupuka! Ss aliyekuambia hyo ni Dar nani.
 
Kilaza mama yako. We kuuma nikome
 
Kwanza angalia inavoitwa moi avenue road sijawah sikia inaitwa moi avenue streetπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 1707012
Ona reasoning uchwara πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , ume google Moi Avenue, imekupa ya Nairobi, unajua maana ya jina avenue na street kweli ama ni ushamba unaanika humu? hehehehe.,
Mwanza the second city in Tanzania., huna la ziada
 
Asante kwa kupost gate lala mama ngina park pamoja Moi avenue main road asante sana 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 siku ukipata streets let me know plz

Vitu kama hvi ukipata tuambie mzee
Unacheka kweli ama watuzingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…