Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Banae, mwanza imefanya ni respect thika even more, yani video imeandikwa wealthy neighborhood lakini ukifungua dah! Ushuzi mtupu, [emoji3596] [emoji3596] [emoji90] [emoji90] View attachment 1706757View attachment 1706758View attachment 1706756
Kiswahili mingi tu, empty rhetorics [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23], drone clips zimeumbua Tz kwa mpigo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] pia Dar watch many drone clips keenly.,[emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Mwanza hutaki tena🀣🀣🀣🀣 unaivua chupi mwanza mpaka raha🀣🀣🀣
Uhehehhhehe mbona humsaidii mwenzio sasa umebakia kutapatapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wenzako wanakushangaa sana., utalia hadi lini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukhekhkehkhe hadi raha aisee pumzika tu hakuna haja ya kuaga au unaaga kuna mumeo humu 🀣🀣🀣🀣
Good night EAC minions. got a report to write.
 
..from the whole videos., zingine nilidownload kitambo sana.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bro lala pole pole, wacha kujitesa na kaMwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ulidownload wapi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ ona anavoanza kutoa povu ulidownload wapi siku gani umefungua hzo video ukaleta kasoro
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Naona munajipa matumaini πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… munadhani hii ndio ile tanzania ya 90s ilikua ikiwasubiri nyinyiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mkiambiwa mulete street za mombasa munalia mwingine akaja na povu kwamba mombasa hakuna one way street yani anatufanya wajinga kwamba hatuijui mombasa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Najitetea kwa lipi na umeanika uchi wako humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., kila mtu ameshuhudia., video clips zimemaliza ubishi wewe ni kiswahili tu utamwaga humu.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Fungua basi ulete kasoro kma ushuzi huuπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
..from the whole videos., zingine nilidownload kitambo sana.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bro lala pole pole, wacha kujitesa na kaMwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ulidownload wapi? mbona huleti hzo street za msa tukaziona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ manake nahamu ya kufurahi leo
Furahia na video upate usingizi vzr
 
Wamepata mama ngina juzi wanaongea kama washamba wakat mwanza ina hzi public kila kona zaidi ya miaka 10🀣🀣🀣🀣
 
Jamaaee hii ndio mwanza ya 2021[emoji1787][emoji1787]
Yani hata old town ipo na levels zake kuliko huu uozo..
Ndio manake hutuletei humu hii video

Na hiiulijua ni wapi bangladesh slum au🀣🀣
 
Siku mombasa au nairobi au ushuzi wowote itapata dampo la uchafu la kisasa kama hili nitag nifunge accπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Yosef Festo
Mwanza hio mzeeeπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mwarabu koko unafanya kazi nzuri sana, mwanza kweli ni πŸ’© πŸ’© 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…