Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

AMREF wana hospitals walizoingia nazo mikataba kibao za Tanzania, Kwahiyo wakisema hivyo ina maana evacuations zote ni kati ya Tanzania na Kenya tu? Na hiyo taarifa haiongelei Tanzania wala Kenya pekee Bali AMREF mission yote
Please spare us your stupidity.

 
Ndio mara ya kwanza ndege kutoka Kenya kuja Tanzania? Mbona ninyi washamba sana, Aga Khan Hospital za Tanzania na Kenya zina cooperation na hayo ni mambo ya kawaida
Hizo sio ndege za abiria. Hizo ni ndege za AMREF that deals with evacuating covid patients from Tanzania to Kenya.


 
unataka ukawauwe kabisa[emoji1][emoji1]
 
Yaani baada ya Ku post kuhusu safari yangu nashangaa humu ndani kimya[emoji846]imeshakua taabu[emoji846]
huwa wanasemaga humu kuwa hatujawahi fika nairobi huwa tunaiona kwa picha tu,,,,

siku ya kwanza kuna chief anaitwa kadoda akawashow kuwa kenya kafika kwa evidence zote,,,
baada ya mda ichiboi naye akapigilia pin za kutosha kwa mombasa na nairobi hadi passport zikaonyeshwa ..

siku nyingine namimi nikawaonyesha hapa,,,,


ila wao wanaishia maneno tu,kwenye hili jukwaa hakuna mkenya hata mmoja ambaye amewahibkufika dar,asilimia kubwa ni waropokaji tu na hawana uwezo wa kuja dar coz maisha yao ni msbovu hawana pesa za matembezi,niwakuishia huko huko walipo[emoji1787]
 
Kweli Sana mkuu mfano Mimi nimebaatika kutembelea nchi kadhaa hususan afrika hii Kwanza jirani zetu hapa nimefika uvira congo, Bujumbura sehemu inayoitwa kajaga,kigali bugesera cha ajabu Kampala ndo sijafika kwenye nchi za Africa mashariki waulize sasa jirani zetu kama hata wametoka nje ya Nairobi kabisa wakafika hata lodwar au garissa🙂wakiendaga mbali ni Nakuru ,thika,Muranga mpaka Mombasa🙂🙂
 
Akili yako iko sawa kweli? People are traveling to Oslo and yet you are here celebrating about going to Bujumbura.
 
Akili yako iko sawa kweli? People are traveling to Oslo and yet you are here celebrating about going to Bujumbura.
Ehee wakwenda Oslo VP Hali ya hewa huko imekaaje? Kweli mikenya huaga inashangaza Sana🙂 kabla hujanunua gari mtu unaanzia bicycle 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…