Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona safari ya Nairobery itakua sooner than expected nikipata mda ntaenda mwenyewe kwenye ground nione miradi Yao imefikia wapi🙂au ni kelele humu ndani🙂kama Barabara zao ziko well maintained au VP tuombe uzima humu ndani mpaka pachimbike namalizia training kwanza👇👇👇
 

Attachments

  • Screenshot_20210218-104002_Teams.jpg
    51.8 KB · Views: 22
wakenya wako na shobo na Tanzania [emoji23][emoji23].. i love to see it
we’re superior to them
Naskia AMREF wanawatoa officials tz na kuwaleta kenya, waliongeleaje hilo nalo pia ni shobo
 
No mpangilio hata cbd jamani, majengo yapo yapo tu..
Yani hili linaamgalia west lile north east[emoji1787][emoji1787]
 
Wacha ufala! Mtu atoke TZ akimbilie Kibera!? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516]
Kapinge AMREF[emoji1787][emoji1787]
Eti flying doctors wapige misele tu dar nai, kweli zuka ni zuka tu

Kisha kuna fala nae ka like, Mungu wangu[emoji2960][emoji2960]
 
This is from AMREF.


AMREF wana hospitals walizoingia nazo mikataba kibao za Tanzania, Kwahiyo wakisema hivyo ina maana evacuations zote ni kati ya Tanzania na Kenya tu? Na hiyo taarifa haiongelei Tanzania wala Kenya pekee Bali AMREF mission yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…