ππππππ itakwisha jibu likipatikana hapaHoja kwishaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So anefurahia bei nafuu ya mafuta yanaondesha dunia akiwa hana bandari na anaetoa ushuzi wa mafuta yanayoendesha dunia wakat bandari anayo nani amekufa hapoπ€£π€£π€£ hebu lets be frank
Hzo mbinu ni zipi na mnazitumia katika majanga yapi jomba[emoji1787][emoji1787]Unaombea majanga au sio nyinyi mulisema baada ya miezi mitatu watanzania watakufa mass death [emoji3][emoji3][emoji3] sio nyinyi au
Tanzania hakuna corona, si wenyewe wamesema sisi tumetelekezwa na MunguMbona hizo mbinu haijazuia viongozi wenu kufa kwa corona? Baada ya nye nye za "sisi hatuna corona" mwishowe mumeaibika [emoji23] [emoji23]
Eti sasa imerudi?? Imerudi just because one of your leaders came out open about his status only to die a few days later? Enyewe nyinyi ni wajinga
Idea ya ppp haijaanzia kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uhehehehe kwa miaka 30 mzee ajira zote kwa wachina mukilipishwa kwa miaka 30 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakat nchi inahemea makalio
So unataka tukuambie wewe kama nani au wewe ulitaka tupige lockdown au curfew???Hzo mbinu ni zipi na mnazitumia katika majanga yapi jomba[emoji1787][emoji1787]
Yani nimekupiga mpaka ukaanza kujitoa ufahamu[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] itakwisha jibu likipatikana hapa
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ miaka 30 mzee mpaka mjukuu atalipa ushuru ila mchina kawakamata pabaya sanaIdea ya ppp haijaanzia kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
*****, njoo ulipie kuteleza juu ya expressway..mwaka huu hakuna vya bure
Mungu hajaribiwiCorona ilikuwepo kipindi kile cha first wave na ikaondoka, now imerudi na itaondoka, you know what? We are blessed country na believe me hii second wave inakwenda kutupa utukufu na dunia nzima itaamini kwamba Tz iko sayari ya pekeake, na utalii utaongezeka maradufu.
Corona hapa Tz co nyumbani kwake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Uheheheh mwenye bandari analia wakat asie na bandari anakula kuku π π π π ama kweli dalili sa yesu kushuka zimewadiaYani nimekupiga mpaka ukaanza kujitoa ufahamu[emoji1787][emoji1787]
Akili zimeshaenda lumumba
Mpka watanzania watalipia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] miaka 30 mzee mpaka mjukuu atalipa ushuru ila mchina kawakamata pabaya sana
Unaforce sasa nje ya jamii forum munalia mukija hapa munajifanya wazalendo π€£π€£Mpka watanzania watalipia[emoji1787][emoji1787]
Unafikiria mtz atapita bure
Umebaki kuhaha[emoji1787][emoji1787]Uheheheh mwenye bandari analia wakat asie na bandari anakula kuku [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ama kweli dalili sa yesu kushuka zimewadia
hao wengi uliowaona.....?Kenya haikutoa ilani wewe bongolala. Marekani na nchi nyingi za Ulaya ndizo zilizotoa ilani baada ya wasafiri wengi kutoka Tanzania kugundulika kuwa na kirusi
Hakuna kitu mbaya kama vipofu kuongozwa na kipofu π π Mwishowe ni majanga na kuangukia pua!Tanzania hakuna corona, si wenyewe wamesema sisi tumetelekezwa na Mungu
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Umebaki kuhaha[emoji1787][emoji1787]
Hatufanani jomba, matumizi yetu km nchi hta mkiungana bado hamtoweza
We acha2 jomba, sai itabidi tumeombeana Mungu tuHakuna kitu mbaya kama vipofu kuongozwa na kipofu [emoji23] [emoji23] Mwishowe ni majanga na kuangukia pua!
We fala nn kati ya sisi na nyinyi nani anayemjaribu Mwenyezi Mungu? Si ni nyie mnaotucheka sisi tunapomshirikisha Mungu kwenye hili janga?Mungu hajaribiwi