Nishakuambia sisi tuko wawazi. What do you understand by that in this context about tourists arivals? In short ni kwamba sijakataa maneno hayoJibu swali wewe na waziri balala nani tumuamini ??? Maneno mengii ya kazi gani
so unataka tanzania tuwaige nyinyi au?? Au unatufundisha wewe
Km nchi hyo ndio ya kwanza baada ya miaka 50[emoji1787][emoji1787]Say again three level interchange [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jibu swali basi π€£π€£π€£πππHehehehe!!usitulinganishe na upuuzi[emoji1787][emoji1787]
Maskini anaenda kulingana na bajeti yake..
Narudia tena, tulinganishe na sauzi watu wenye matumizi yao mapana kutuzidi[emoji1787][emoji1787]
So anefurahia bei nafuu ya mafuta yanaondesha dunia akiwa hana bandari na anaetoa ushuzi wa mafuta yanayoendesha dunia wakat bandari anayo nani amekufa hapoπ€£π€£π€£ hebu lets be frank
Ukwel kwao mwiko aisee, jamaa anaogopa kufungiwa!!***** chezea dikteta uchwara weweNishakuambia sisi tuko wawazi. What do you understand by that in this context about tourists arivals? In short ni kwamba sijakataa maneno hayo
Na ndio three level ya kwanza east africa πKm nchi hyo ndio ya kwanza baada ya miaka 50[emoji1787][emoji1787]
Swali gani hilo[emoji1787][emoji1787]Jibu swali basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Bongolala, the whole stretch is under construction as I type this. Ujenzi ulianzia mlolongo and they are already in Westlands. How is that 9 kms? Ama bado unataka billboard ya ujenzi kwa sababu huamini macho yako?Are they buidling 27km or 9km Kwanza ??
Uwazi gani so unataka sisi tuwaige nyinyi kwamba tuweke curfew au tufunge nchi?? Kila nchi inambinu zake katika kukabiliana na majanga yoyote wewe usitulazmishe sisi tufanane na nyie kama mulifeli ni nyieNishakuambia sisi tuko wawazi. What do you understand by that in this context about tourists arivals? In short ni kwamba sijakataa maneno hayo
Rudia tena[emoji1787][emoji1787]Na ndio three level ya kwanza east africa [emoji28]
Sisi tunajua ni project ya mchina ambayo atamiliki kwa miaka 30 alichukua ushuru kwenu hilo linajulikana dunia nzima ππ na baada ya kukamilika mutajua kwann hua tunawaona wajingaBongolala, the whole stretch is under construction as I type this. Ujenzi ulianzia mlolongo and they are already in Westlands. How is that 9 kms? Ama bado unataka billboard ya ujenzi kwa sababu huamini macho yako?
Narudia kusema ndio interchange ya kwanza africa mashariki hata ukikasirika haitasaidiaπ€£π€£π€£Rudia tena[emoji1787][emoji1787]
Yani tz ni nchi changa sana[emoji1787][emoji1787]
Interchange imejengwa baada ya babake muarab kufa
Tena tz kuna majanga, emu tueleze vizuri..Uwazi gani so unataka sisi tuwaige nyinyi kwamba tuweke curfew au tufunge nchi?? Kila nchi inambinu zake katika kukabiliana na majanga yoyote wewe usitulazmishe sisi tufanane na nyie kama mulifeli ni nyie
Corona ilikuwepo kipindi kile cha first wave na ikaondoka, now imerudi na itaondoka, you know what? We are blessed country na believe me hii second wave inakwenda kutupa utukufu na dunia nzima itaamini kwamba Tz iko sayari ya pekeake, na utalii utaongezeka maradufu.Uzuri ni kwamba sisi tuko wawazi mwenye kila kitu kuhusu corona na athari zake. Sisi hatusemi wala kuambiwa uwongo ndio tuonekane mababe. Leo sijui bado mtaendelea na ule usemi wa "sisi hatuna corona" baada ya tukio ya leo kule Zanzibar ama mtakubali kirusi mnacho na kimewakaba hadi kooni
π€£π€£π€£π€£ππππ so leo range analia hana mafuta na mwenye probox anaenjoy life ni sawa πππππSwali gani hilo[emoji1787][emoji1787]
Range na probox matumizi tofauti
So anefurahia bei nafuu ya mafuta yanaondesha dunia akiwa hana bandari na anaetoa ushuzi wa mafuta yanayoendesha dunia wakat bandari anayo nani amekufa hapoπ€£π€£π€£ hebu lets be frank
Mbona hizo mbinu haijazuia viongozi wenu kufa kwa corona? Baada ya nye nye za "sisi hatuna corona" mwishowe mumeaibika π πUwazi gani so unataka sisi tuwaige nyinyi kwamba tuweke curfew au tufunge nchi?? Kila nchi inambinu zake katika kukabiliana na majanga yoyote wewe usitulazmishe sisi tufanane na nyie kama mulifeli ni nyie
Miradi ya PPP haijaanzia kenya[emoji1787][emoji1787]Sisi tunajua ni project ya mchina ambayo atamiliki kwa miaka 30 alichukua ushuru kwenu hilo linajulikana dunia nzima [emoji38][emoji38] na baada ya kukamilika mutajua kwann hua tunawaona wajinga
Unaombea majanga au sio nyinyi mulisema baada ya miezi mitatu watanzania watakufa mass death πππ sio nyinyi auTena tz kuna majanga, emu tueleze vizuri..
Ni janga gani hilo mnalokabiliana nalo kw sasa
Hoja kwishaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] so leo range analia hana mafuta na mwenye probox anaenjoy life ni sawa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Uhehehehe kwa miaka 30 mzee ajira zote kwa wachina mukilipishwa kwa miaka 30 π€£π€£π€£π€£π€£ wakat nchi inahemea makalioMiradi ya PPP haijaanzia kenya[emoji1787][emoji1787]
*****, ukija nairobi unalipia kodi kuteleza..
Hakuna vya bure majirani
Eti sasa imerudi?? Imerudi just because one of your leaders came out open about his status only to die a few days later? Enyewe nyinyi ni wajingaCorona ilikuwepo kipindi kile cha first wave na ikaondoka, now imerudi na itaondoka, you know what? We are blessed country na believe me hii second wave inakwenda kutupa utukufu na dunia nzima itaamini kwamba Tz iko sayari ya pekeake, na utalii utaongezeka maradufu.
Corona hapa Tz co nyumbani kwake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]