Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania, nchi inayodaiwa na mkulima mmoja mpaka kawashikia ndege leo mwarabu chokosh utatuambia nini. Tanzafuckinia[emoji90][emoji90][emoji90]
Ww ni kinyesi kimejaa kwa iyo skull, mpaka leo mnapokea chakula ya msadaa wachia mbali huo ufukara ulio tanda kma buibui kila kona ya kunya unadare kuiongelea Tanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]fool
 
Wacha sisi, hata wewe ukija nairobi utalipia kwhyo tutasaidiana tu majirani zetu[emoji1787][emoji1787]
Magari yote jamaa hawakutaja ya wakenya wala nn, uwe mtz uwe nani utalipia ku enjoy mtelezo wa ju kw juu
Haha, malazy kodi pia watalipa, jichoboy tayari amekata ticket.
 
Haha, malazy kodi pia watalipa, jichoboy tayari amekata ticket.
hizi mimba anawatungisha uhuru, siku mnajifungua mtatupa tabu sana kaka zenu.

hiki kidaraja ni pesa ndogo sana kwa serikali, yaani ingekabidhiwa hata kampuni moja inayoishi kenya hapo ingetoa pesa.

hao jamaa tayari wameishaiingiza kenya kwenye kirengeo,hiyo barabara inakwenda kugharimu kitu kingine. maana wakenya wataikimbia.
 
kwani mkuu ukiona mkenya anatoa povu kwa magufuli humu unadhani ni bahati mbaya!!!!!
jamaa anazijua lugha wanazoongea wanga na wachawi wote[emoji16][emoji16][emoji16].

wanajua kwamba sasa wamebaki uchi.
 
Mbezi Luis Bus Terminal

Phase 1: ujezi wa barabara upo slow kidgo estim inabd wachangamke, Wachina 99% ya finishing za kwenye majengo zimekamilika, kwa Sasa wanajenga daraja la juu la kuingilia magari stendi ( wapo hatua ya kuweka nguzo) na finishing ndogo ndogo za nje

Phase 2: Hawa wako speed kinoma nahisi hii phase wamepewa wengine sio hao wachina

Pedestrian bridge nalo lipo hatua za mwisho nguzo zote washaweka

Hope before March huu mzgo utaanza kufanya kazi

Note: Kenyan hyo ndo stendi Bora kuliko zote Africa, sio East & Central Ni Africa nzima. Na mpaka 2025 tutatoa wazo liongezwe jukwaa la Africa ili uanzishwe uzi wa DSM vs ( Nairobi + Kigali + Kampala + Addis Ababa + Cape Town + Casablanca + Cairo + Lagos etc)
 
Kwenye swala la club football tupo mbali sana saiv tunamfukuzia Congo DRC wadau wa soka wapaze sauti viwanja virekebishwe au vinjengwe vingine maana hivi vya CCM ni balaa tupu
 
2025 kutakuwa na jiji moja tu hapa EA, na mengine madogo madogo[emoji16][emoji16][emoji16].
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
The bird with a broken wing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ