Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndomaana wanapenda sana wifi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

maisha ya bongo ni rahisi sana ukilinganisha na nchi zotee africa
free boti......hao ni wazee wa kuserereka mkenya yupo radhi atoke zake kwake apande daladala aende tao kwaajili ya wi-fi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kawaida ya nchi maskini
nchi maskini kama wakunya hawawezi kua na maisha rahisi sababu 50% as i speak ni jobless
nchi kama kunya haiwezi kua na maisha rahisi sababu ni maskini ipo kundi1 na zimbabwe na Burundi
nchi ka kunya haiwezi kua na maisha rahisi sababu katika mji mkuu wake nusu ya wakazi ni slum dwellers
nchi kama kenya haiwezi kua na maisha rahisi sababu ni wavivu nchi pekee raia wake hufa sababu ya njaa


kama nakuona vile umenuna huku ukiwish kua mtanzania
 
Do you really understand the meaning of the word "cloning" ?
Ndo umejifunza leo au co, haka kakipataga new vocabulary kwenye kichwa chake kanasumbua haka, ss wewe hyo ndio umeona msamiati au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom