Simba wanga sio[emoji1787][emoji1787]Anza na hii sumbawanga ukimaliza nitafute [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kisha umesema unaijua mombasa[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nimecheka sana leo ananiambia kwann napost za old town wakat hio CBD yao yenyewe iko old town na business yote ya mombasa iko old town [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwhyo hutaki video sio[emoji1787][emoji1787]
Umepanic tayar 😁😁😁 fungua video basi hasira haisaidiiSimba wanga sio[emoji1787][emoji1787]
Hapo ndio kuna nini jamani zaidi ya huo uchochoro unaoelekea kuzimu
Kwani hio nimetoa wapi???🤣🤣🤣🤣Kwhyo hutaki video sio[emoji1787][emoji1787]
Kumechakaa kama njombe
Ndio naijua vzr sana labda unidanganye uchumi wa mombasa hauko old town 😅😅Kisha umesema unaijua mombasa[emoji1787]
Njombe ina nafuu mara 100 manake wana stend ya kisasa soko la kisasa 😅😅😅Kumechakaa kama njombe
Kuna mtu anasubiri umeme uwe idleROSTAM ANASEMA IT'S THE BIGGEST IN AFRICA 👀
Stendi ya kisasa, soko la kisasa maisha ya maisha ya kizamani[emoji1787][emoji1787]Njombe ina nafuu mara 100 manake wana stend ya kisasa soko la kisasa [emoji28][emoji28][emoji28]
Emu malizia, uko wapi uchumi wa mombasa[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Ndio naijua vzr sana labda unidanganye uchumi wa mombasa hauko old town [emoji28][emoji28]
Mara ya elfu moja hii umepost lkn bado ni ule ule uchochoro, au siku hizi wameongezea flyover kw mbeleUmepanic tayar [emoji16][emoji16][emoji16] fungua video basi hasira haisaidii
Tuonyeshe viongozi hapoJana tuliambiwa kenya hakuna ajali [emoji116][emoji116]
Bado hutaki video tu[emoji1787][emoji1787]Kwani hio nimetoa wapi???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi leo mnaleta comments[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu leta nyumba za udongo za kariakoo na magomeni tuzione nasubiria hapa bro 🤣🤣Hivi leo mnaleta comments[emoji1787][emoji1787]
Na juzi tu hapa za kuhusu nyumba za udongo kariakoo na magomeni mlikasirika mpka basi
Kwani hio nn 🤣🤣👇👇👇👇 nimecheka mpaka basiBado hutaki video tu[emoji1787][emoji1787]
Fungua uangalie ndani acha kukwepa
Nioneyeshe ushahidi kua kila baada ya mwezi kiongozi tanzania anapata ajali na kufa nasubiri toka jana 😀😀😀😀Tuonyeshe viongozi hapo