Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo nilitembelea pande za uswahilini huko kiwalani,aisee hii nchi inajengwa yn huko kiwalani ni lami tupu, kule mbele kuna soko kubwa ghorofa mbili ila nilikuwa fasta sikupiga picha ila bado nina safari ya kwenda kule nitaweka humu picha zikiwa poa cz hapo nilipiga Fasta Fasta ila next time napiga na soko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Matusi ya DMDP hayo barabara zina taa na safi tu yn kuna waka na co hapo tu, DMDP imechafua Uswahilini kibao tu, ss nitaanza kutembelea kunako uswazi niwaoneshe hawa watu[emoji3516][emoji3516][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
tender bado.. mchina ndo atatoa hela.. it’s obviously makampuni yao ndo itajenga

mkianza kusikia Magu anaongelea SGR ya Isaka-Makutupora moja kwa moja hasa jiwe la msingi wa Isaka-Mwanza ujue mambo tayar kwenye ishu ya finance
Kama hii habari ni kweli, then tutegemee yafuatayo, tender ya tabora - kigoma inaweza tangazwa anytime next year.
AfDB wanaweza release fund ya Isaka - Kigali kwani uhakika wa connection ya dar - isaka utakuwepo.
Haya ni maoni yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…