Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There is no speech or figure there. Just your stupidity.
Umeteseka I exposed your idiotic reasoning [emoji1787][emoji23][emoji28][emoji28], most of you are just like that., Mko na ugumu wa kufikiria zaidi ya pua.
 
We pumbavu nn, umenielewa nilichoongea au unajibu jibu tu, hyo SA ina mafanikio gn ya kimpira kwa national team, hyo England kwa dunia iliyopo kule ina mafanikio gn kwa national team, hapa chini ni 10 bora ya ligi bora za Afrika, cc na SA wote tupo ndani.

Alafu kwnn unashindwa kuelewa nilichozungumza au huna ubongo wewe, man u imenikera usitake nimalizie hasira kwako gud nyt.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona jf kila kitu kinapachikwa humu[emoji1787][emoji1787]
Nachungulia karibia kila mahali, kuna majukwaa jf wale mnaonengua huku hamfiki labisa manake huaga mnakula za uso
tunawatawala kijamii 😂😂😂 et bado unashangaa kwa nini ligiyetu ni kubwa?
mie mbona sjui hata mchezaji 1 wa ligi yenu achilia mbali team zenu?
 
Serikali ifanye kila iwezalo british airways na lufthansa zirudishe route ya dar,na halafu ATCL ianze route ya dar-nai
 
SA na England wanafika mbali in different tournaments apart from their well established leagues, wote wamefika world cup, and other continental tournaments kwa wingi, ile tu hawashindi kikombe, that doesn't mean nikama nyinyi, hapa Africa mko chini sana peleka shabiki za kijinga mbali., Your league is popular due to cultic fan base na gamblers, [emoji1787][emoji23][emoji28] not to the levels za SA na akina Egypt, Tz being in that list doesn't make u any better, it is a clear manifestation of how Africa is way below on matters football Kama hizo ndio standards.
 
Wewe ni fan wa Man Useless [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] ama ulikua umewekelea mzigo(uli bet) ikakuchomea bet? [emoji28][emoji1787][emoji23]Pole lakini.
 
If this comment makes you happy, who cares. But the truth will remain to be truth.
Waulize Onyango na Kahata.
 
Sio leo bro,route ya south tu iliwatoa jasho
inawezekana sana kuchukua hizo routes afterall Lufthansa wanataka kuanza kuja kuanzia Spring ila ni route ya Zanzibar! Huku mainland kutakuwa hakuna competitor kinachohitajika ni ATCL kuwa na enough aircraft maana kila route inahitaji at least ndege mbili la sivyo mambo ya kuwaacha abiria uwanjani italeta lawsuits! Air Tanzania ijiandae na kununua ndege mbili zaidi ya hizo dreamliners mbili walizo-oder!

Kiukweli European na American routes zinahitaji kujenga confidence ya wasafiri na kuzianza hizo bila enough machines ni pata potea! Hii route ya China kupitia Bangkok alone itazifanya hizi dreamliners mbili ziwe fully occupied while route ya India ina ahueni kwa vile inafikika na hizi A220s na kuna mbili nyingine zaja! Kuweza kufanya biashara ya maana na isiyo na misukosuk0 Air Tanzania inahitaji machines kati ya 26-30 huku ikiwa na dreamliners au other longrange aircraft zisizopungua 10-12!
 
Nawapongeza hao waliobuni ofisi na kuweka landscaping nzuri

Imekuwa ni tatizo kubwa Sana kwa ofisi za umma na hospital kwa Tzn kujenga majengo ya maofisi bila kuzingatia landscaping yenye kutunza mazingira na kuleta muonekano mzuri.

Mazingira bora ni tiba pia hasa mahospitalini just kama ilivyo kwa Hospital ya mt.Thetesia Ikonda Makete au Hospital ya DDH ya Kilutheri ya Karatu na Karatu Sekondari.Taasisi za umma zinatakiwa kuwa hivyo sio kuwa na ofisi kama frames za biashara
 
Raha ya Tanzania uwe mhindi,mzungu,msomali n.k,mkoa utakaozaliwa basi ndio kabila lako litakua la hapo utakapozaliwa,bashe hapo ukimuuliza kabila atakuambia mnyamwezi,wenzetu mungiki hawanaga hiyo kitu,nairobi kuna mtaa ni wasomali watupu!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…