Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya ni maisha unaeza mkuta nayo mtanzania kweli ? πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ nyumba tope, takataka za dunia ziko dirishani uharo juu ya ushuzi
 
Hebu tufananishe na hzi sasa ambazo mzungu kazioa kwenye sattelite yake 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 sahiv unaogopa kuokota picha za google
 
Yani mzungu aweke multi billions sattelite hewani alaf asione slum za dar ila aone za dunia nzima πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… tuweni serious kidogo jamani
 
Hizo picha ulizo post za dar wap haswa? πŸ™‚Mimi hiz picha hapa moja korogocho sehemu inaitwa mwangaza,ya pili mukuru ya tatu mathare mradiπŸ™‚tuanzie hapoπŸ™‚
 

Attachments

  • Screenshot_20210204-220245_DuckDuckGo.jpg
    59.6 KB · Views: 16
  • Screenshot_20210204-220146_DuckDuckGo.jpg
    72.4 KB · Views: 22
  • Kenya-Slum.jpg
    20.5 KB · Views: 23
Kazi na dawa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Zanzibar ni nafuu mara kumi ya hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kojoa ulale, hapa umechemsha., I even find Arusha better than this., wewe tafuta lingine, hauna jibu wacha kujitetea na ka mji ushuzi
 
Alaf mzungu aache kuja kujionea watu wakiishi maisha zaidi ya nguruwe 🀣🀣🀣
Nimeona gorofa ya mabati hapo aiseee na wakenya hii thread munafaa kuiheshimu sana imewafungua sana macho
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Zanzibar ni nafuu mara kumi ya hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kojoa ulale, hapa umechemsha., I even find Arusha better than this., wewe tafuta lingine, hauna jibu wacha kujitetea na ka mji ushuzi
Kwekwekwe ningekua sijawah fika mombasa au kisumu ungenidanganya lakini umechelewa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜… eti city ina taxi baiskeli hahahhhaha
 
unazunguka tu sehemu moja tu, na kwa wivu na machungu unasema eti 70% ya Nairobians wanaishi kule, uko desperate sana hehehe, Dar umaskini umetapakaa 90% of sq km, iko wazi tu!, 60% of Nairobians live in eastlands Kibera iko Southlands.,, nionyeshe sehemu ya average Dar residents of this magnitude., weka hapa., ukipata such in TZ ya normal residnets nafunga account humu., video clips, nipe nikupe..,
EASTLANDS.,
BURUBURU an estate in Eastlands..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…