Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ujamaa ilipotea na akili zao and their reasoning ability
Hawa majamaa huaga wana reason kiboya sana walai, yani ingelikua watu wengine nao wanaelwa kiswahili wangelikutana na vituko..yani wapo km matahira vile
 
Si uondoke jamii forums nani kakushika mkono? Watu wana reason kiboya na bado mpo tuu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Umeona sasa ulivyokuwa tahira, kwn jamii forums kuna mahali pameandikwa tanzania
 
Aliyeandika huu upupu hata hajui ilikua ana andika nn[emoji1787][emoji1787]
Nimesoma paragraph alivyojingonga gonga kw ajili ya kutafuta viwers mpka nimecheka
 
Hii ni mali yetu Watz nyie mna forum zenu wala hatushoboki nazo, hii Kenyani news co kwa ajili yenu ni kwa ajili ya Watz ku discuss kuhusu jirani zetu, pia ipo Ugandan forum so ni kiherehere chenu tu au mnatafuta mabasha wa kibongo km kawaida yenu kutuwaza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Aliyeandika huu upupu hata hajui ilikua ana andika nn[emoji1787][emoji1787]
Nimesoma paragraph alivyojingonga gonga kw ajili ya kutafuta viwers mpka nimecheka
Nioneshe alichoongopa au nikuletee nyingine iliyoandikwa na mtu mwingine [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kenya ni trash komora, msione mnaweka hapa vipicha mnavyopiga upande upande mkadhani hatujui [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Emu rudia tena, kenyan news ni sehemu ya kufanyia nini tahira[emoji1787][emoji1787]
Tanzania bila kenya katika sector hizi hakuna mahali mtaenda, jf jukwaa la kenya likitolewa kutabaki umbea tu..
 
Nioneshe alichoongopa au nikuletee nyingine iliyoandikwa na mtu mwingine [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lete kabisa[emoji1787][emoji1787]
Jamaa yani kajipiga piga mpka nikafurahi sana, hyo mnapigwa watu km nyie..
Iweje sehemu ya 250,000 people iwe biggest in africa..

Kisha chini kabisa kakuwekea sehemu ya exchange rates, link haina hata tarehe
 
Kenya ni trash komora, msione mnaweka hapa vipicha mnavyopiga upande upande mkadhani hatujui [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jamaa wa vipicha vya upande wanajulikana humu, wao kwao drone ni mwiko[emoji1787][emoji1787]
 
Ss inabd u publicize hii article yako ili uwapinge hawa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…