hapa....Wapi hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
View attachment 1693526Twiga Cement on LinkedIn: Miundombinu ya Barabara ni muhimu sana kwa uchumi wa Taifa letu. Makutano
Miundombinu ya Barabara ni muhimu sana kwa uchumi wa Taifa letu. Makutano ya Daraja la juu la Ubungo ni matokeo ya saruji bora ya Twiga. Road infrastructure...www.linkedin.com
Mnakula vizuri kivipi and yet Tanzania has one of the world's highest rates of severely malnourished children? Ama unadhani sisi hatusomi statistics zinazochapishwa kuhusu mambo haya? Watoto wa tumbo kubwa wamejaa Tanzania kwa kutokula protein ya kutosha. Mungu awasaidie hao watoto.Nyie wakenya mnaojidai mko well developed wakati asilimia kubwa hamwezi hata Ku afford 3 meals per day🙂wakati Sisi tunapiga not just 3 meals but heavy and nutritious meals
Mtu mwenye hela na maskini Tanzania wote wanashiba🙂
Example ya breakfast ya mtu WA kawaida
Miogo,half cake,vitumbua,viazi vitamu,Karanga,makande,sambusa etc vitu maskini kwetu anakutana navyo sasa wewe niambie maskini wenu anakula breakfast ipi tuanzie hapo🙂
Lunch mboga za majani zipo kibao na tena sisi wakulima mwenyez mungu katupa ardhi nzuri yenye rutuba,mfano Chinese,matembele nyanya chungu,nswalu kisamvu etc maana mboga zipo Aina nyingi sana,mgagani mlenda,dagaa,samaki wa Aina wote ni affordable maskini wa Kenya anakula nini?🙂
Huyo ana nini jamani, au umeona hyo v8 hapo[emoji1787][emoji1787]Mchekeshaji tanzania [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1241] Ana maisha mzuri kuliko msanii mkubwa kenya View attachment 1693317
Picha la kutisha.
Si ndiyo hawa hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Mnakula vizuri kivipi and yet Tanzania has one of the world's highest rates of severely malnourished children? Ama unadhani sisi hatusomi statistics zinazochapishwa kuhusu mambo haya? Watoto wa tumbo kubwa wamejaa Tanzania kwa kutokula protein ya kutosha. Mungu awasaidie hao watoto.
Tbt[emoji1787][emoji1787]Si ndiyo hawa hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]View attachment 1693607View attachment 1693608
Huipendi v8 😁😁😁😁Huyo ana nini jamani, au umeona hyo v8 hapo[emoji1787][emoji1787]
Sijadili abari za zambia mm nakushanga unae icheka Tz km nyie mko pazuri ....kumbe ndio ushuzi wa bata kabisaaaa...[emoji1787][emoji1787]Nionyeshe hapo Zambia?., ile post napingana nayo imetaja Zambia eti masikini wa kutupwa., ata kuliko Burundi?. ama haukujua unachochqngia ulirukia tu Kama kawaida...,
Asiyewajua watanzania labda ndio atashtuka lkn sio mmHuipendi v8 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umekuja kuendeleza upupu na wewe, haya beba endelea kuwehuka jitoe ufahamu kabisa mwisho utapewa tajiSijadili abari za zambia mm nakushanga unae icheka Tz km nyie mko pazuri ....kumbe ndio ushuzi wa bata kabisaaaa...[emoji1787][emoji1787]
Mutura,sosee na githeri 🤣🤣"smokii" [emoji23][emoji23][emoji23]
Bila kusahau chakula cha anasa kenya "chapoo"Mutura,sosee na githeri [emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣Nimecheka kweli kwenye harusi,na sherehe mbali mbali unakuta chapo na nyama v.i.p mealsBila kusahau chakula cha anasa kenya "chapoo"
Hii hospital ipo wapi?
V.I.P meals [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka kweli kwenye harusi,na sherehe mbali mbali unakuta chapo na nyama v.i.p meals
Ni fire... East and central africa Hakuna, hapa nilipitaga usiku bado kidogo nipoteeWapi hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
View attachment 1693526Twiga Cement on LinkedIn: Miundombinu ya Barabara ni muhimu sana kwa uchumi wa Taifa letu. Makutano
Miundombinu ya Barabara ni muhimu sana kwa uchumi wa Taifa letu. Makutano ya Daraja la juu la Ubungo ni matokeo ya saruji bora ya Twiga. Road infrastructure...www.linkedin.com
Yaani wanashindia Chapati...Bila kusahau chakula cha anasa kenya "chapoo"
Kw taarifa yao chapati zinauzwa kw mama nitilie nairobi..Yaani wanashindia Chapati...
These guys wana extreme poverty..
Imagine Chapati mtu anakula mara 3 kwa siku na Sukuma wiki...
Nyama haina hata viungo nyanya mbovu wanaita beef... Ila wakiwa jamiiforums wanapiga kelele
Sent using Jamii Forums mobile app