Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unasema ati asilimia kubwa ni slum? Ndio nakuambia kwamba huijui Nairobi wewe. Zaidi ya unachotazama kwenye TV wewe hujui lolote.
 
In the process ya kuwaonyesha njia ilijengwa please take note of the beautiful nairobi in the background
 
BBI saga

MY TAKE
Raila made a big mistake to align himself with Uhuru to push BBI. I see a third person outside Raila and Ruto ascending to Presidency come 2022.
CC: Tony254
 
Mfano runda beautiful and one of expensive suburbs nyuma slum🙂
Kitisuru nyuma slums🙂
Hurlingam nyuma slum🙂
Thome estate nyuma slum🙂
Karen kuna slum🙂
Buruburu nyuma slum🙂
Etc etc
Wewe nimekuambia huijui Nairobi. Eti buruburu nyuma kuna slum? Taja jina ya hio slum na uweke picha ya hio slum. Huku tutakukimbiza mchakamchaka ukileta propaganda zenu za vijiweni.
 
BBI saga

MY TAKE
Raila made a big mistake to align himself with Uhuru to push BBI. I see a third person outside Raila and Ruto ascending to Presidency come 2022.
CC: Tony254
Usishasema 100% ya Wakenya hawajui kiswahili.

komora096 ona huyu mpwani anavyoongea kiswahili kizuri
 
Ukweli mchungu so called apartments za Kenya ambazo ni nzuri wanakaa only 20% of kenyans.

Most Kenyans can't afford to build houses...

So called Slums in Dar have best quality a Kenyan could dream of.

Kenya tunaijua... Watu wengi wanaishi kwenye magorofa low quality sana, watu wanaishi mjini hawana maji hata ya chooni, Kenya mjini kabisa kuna mahali wanatumia pumba chooni.

Hii mitaa ya Dar ambayo Kenya wanaita Slums yote ina barabara ina taa kuna huduma zote za jamii, ila Ukienda Kibera or pipelines hakuna hata njia za kupita.

Humu ndani hata hawa wakenya wa humu they could be bed seaters

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nkt! Be serious those are schools connected one thing am sure tanzania has not done and in terms of internet dont argue dont forget we have the third best internet in africa where you cant compare doent hurt to coincide hatu judge and you well know the north of kenya is a semi arid area so alot was not happening there till recently after we adopted the devolution means of governance where kila county is given there own governor and budget
 
Hio 20% percent umeitoa kisogoni mwako au wapi? Hapa Nairobi kuna apartments hata za ksh 5,000 za single room na zina maji. Kwa hivyo hata mahustlers wanaweza kuafford kuishi kwa apartment. Wale wanaoishi kwa slum ni wale masikini kabisa ambao hawawezi kuafford hata hio ksh 5,000 kwa mwezi. Inabidi waishi kwenye nyumba za mabati wanazolipia maybe ksh 2,000 kwa mwezi.
 
We hakuna kenya unajua most poor kenyans this the type of estate wao hukaa not the best but am sure it's way better than tanzania you can take that to the bank. PIPELINE unasema hiyo hapo jionee useme hakuna manjia
 
Usishasema 100% ya Wakenya hawajui kiswahili.

komora096 ona huyu mpwani anavyoongea kiswahili kizuri
wacha kuzuga the topic at hand is BBI! those speaking r less than 3% of all Kenyans n r having vinasaba vya Utanzania ndani yake! hata kiswahili chao nikinafanana zaidi na cha Tanzania kuliko Kenya. Nobody from Mombasa will tell you he/she speaks like Kenya's mainlanders but like Tanzanians! Even Kenyans who write good Swahili in JF have been to Tanzania before either for work or grew up there! cut the crap...
 
Share picture ya 5000Ksh appartment..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tandale equals kariobangi
 
Hahaha. Mbona ulisema 100% of Kenyans hawajui kiswahili? Sasa imekuwa 97%? Hahaha. Sawa nimekuelewa.

Halafu hao ni Wakenya na hawajawahi kufika Tanzania na hawana vinasaba vya Kitanzania. Hao walizaliwa Kenya na mababu zao pia walizaliwa Kenya na hawajawahi kuishi Tanzania.

Anyway wacha mjadala uishe.


Cc komora096
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…