Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani nitamwni miti au???
Hakuna density nachoona ni misitu ndio imejazana au nasema urongoo🀣🀣🀣 ulipoona picha majengo hayaonekani ukaona uje ujifanye unapenda sana miti acha ujinga wewe
Nairobi is a green city bongolala. Hali ya hewa huku ni shwari na mandarin ni ya kuoendeza. Unataka pafanane hivi ndio tuwe sawa? πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20200216-004315.png
    236.8 KB · Views: 11
Hata kwenye Chai hawatuzidi, issue ni kwamba Kenya ndio auction market ya Chai karibu yote ya ukanda huu inaenda kuuzwa Mombasa so ni takwimu za Chai za mataifa mengine pia zinajumlishwa kama zote za Kenya
unataka vita wewe? Tony254 njoo ujitetee huku!
 
Hahahahahaaaa km Mombasa kwahiyo sio Kenya au sio, alafu kuhusu sehemu mbovu za Nairobi za kushindanisha na Dar ni kwamba Nairobi nzima ni slums everywhere ss unataka nifanyaje?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…