Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maandishi ya report ya TPA hayaonekani vizuri. Nimeshindwa kuisoma. Wacha nitajaribu kufungua na computer nione kama inasomeka.
nimekupa na link pia! uache unazi Mtwara port ni project kubwa already $240 mln zimetumika na phase nyingine zaja! Ni ujinga kufikiria Lamu port ndo project kubwa EA wakati JPM anapanua bandari mbili za pwani na anajenga several maziwani!
 
Hahahaha!![emoji1787][emoji1787]
Kizere si unaumia sana jamani, jiulize vifaa viliingizwa lini vya kujenga hzo berth tatu hko lamu[emoji1787][emoji1787]

Umepanic sio uongo
 
naomben msaada, kuna mtu anakujua kisaki morogoro? nawezaje kufika huko kutoka Dar kwa Bus?
Yah, mabasi yapo. Ni yale design ya Eicher na nauli ni 17,000/= kama hakutakuwa na mabadiliko. Kituo yanapoanzia ndio sina uhakika.

Nilisikia yanaanzia buguruni (jiridhishe kwa search) ila kwa uhakika yanapita mbezi ya kimara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…