Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Askari anayeweka slaha huyo ni wa kuchapa risasi. Tatizo lako ni kurukia mada. Hapa unajua kabisa ni thread inahusu battle btn Dar es salaam and Nairobi.

Sasa mzee hujui hata ethics. Huwezi kuwa na issue zako na mke wako halafu ukaanza kumdhalilisha kwenye public.

Jifunze kujifunza. Na usilazimishe mambo.
 
Hebu ndugu nakuomba utuwekee hiyo sheria ya kuongezewa mshahara tuione na sisi tuone inasemaje. Mwezi wa kwanza si umeisha jamani!? Bado maumivu ya January upo nayo tu!?
 
The guy is a gentleman you idiot., Can't you just pick his advise and with respect[emoji848] wacha za ovyo[emoji28]
 
Private sector wapo wanaolipwa hata chini ya ya serikali ni wewe na uamuzi wako pia
Sawa, ila tuache kulalamika mkuu tuangalie nchi inakwenda wapi na tujifunze kuridhika, na pia tujifunze kwa wenzetu walioendelea kwmb hawakufika pale kwa kuongezeana ongezeana mishahara.

Kuna Watz wengi hawana kazi lkn wanaelewa nchi inapoelekea na hawalalamiki kivile km wanavyolalamika watumishi wengi wa serikali wanaolipwa mishahara kila mwezi tena pasipo kucheleweshwa km nchi za wenzetu hapa hapa Africa.
 
sawa kabisa na hii ni kwa sector zote za serkal sio madaktar pekee ile ya magu it was wakeup call yani alkua mbele ya muda na hili ni tatizo tena kubwa kwa nchi za Africa migogoro ya private sector na serkal kwa nchi za mabeberu ni michache sana njoo Africa sasa......
 

nipe sababu kwann tuongezewe mshahara?
relate na hali ya maisha ya wafanya kazi wa serikali!

kuna mfanyakazi alikuwa anasomesha mwanae shule nzuri english medium kbla ya magu ila saiz ameshindwa?
kuna mfanyakazi ameacha starehe mfano ishu za pombe kisa saiz hana hela, mshahara hautoshi??
kuna mfanyakazi ameacha kuendesha gari kisa mshahara hautoshi kununua mafuta?? and the likes!
kwa mishahara ileile kbla ya magu, wanafanyakazi wanajenga nyumba, wananunua magari, wanasomea watoto, wanakula vizur na bata juu

ingekuwa hela za serikali zinatumika vibaya (ufisadi ufisadi kama kenya) na hakuna kuongezewa mshahara, hapo mgomo ungekuwepo
 
2025 gombea tukupe nchi utuongezee mishahara mjomba 😂😂😂😂🙌
Wananchi hawachagui rais huko Tanzania. Chama cha CCM ndio inayochagua rais kisha wananchi wanapiga rubberstamp. Hakuna democracy Tanzania
 
...on kicking ass hamna, full porojo n fear of facts, otherwise [emoji123]RESPECT MAN[emoji145][emoji145]., ADIOS AMIGO[emoji120]
 
we jamaa bana 😂😂😂😂acha kushupaza shingo hivi alokwambia NENO LA RAISI NI SHERIA ni nani?
 
Yaani wewe mkunya unatupangia cha kufanya.
Tangu lini demons zikamshauri mtakatifu. Mkunya atoe ushauri kwa watakatifu wa Tanzania. Hii ni ajabu ya 8
Tanzania ikiwa takatifu basi jehanamu ni paradiso[emoji28][emoji28][emoji1787]
 
we jamaa bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kushupaza shingo hivi alokwambia NENO LA RAISI NI SHERIA ni nani?
Raisi akisema ndio inakua ivyo Kwani hujui kusoma picha
 
Wananchi hawachagui rais huko Tanzania. Chama cha CCM ndio inayochagua rais kisha wananchi wanapiga rubberstamp. Hakuna democracy Tanzania
hu ubishi usokua na kichwa wala miguu unaotaka kuuanzisha hapa em tuwaachie watoto wa Facebook
hapa tujadili kama ma great thinker uo utopolo wako baki nao mwenyewe
 
Kazi Ni ya risk lazima walipwe tofauti ,Unaweza ukafunga shift kaja mgonjwa kapigwa na sukari inabidi ukapambane nae laah anakufa hapo ukicheza utatoka job usiku....Ukitaka kutoka huoni wakumsaidia huyo mgonjwa...Mbona wabunge wanalipwa milioni 10+ M walijopanidishia posho kutoka 70k hadi 300k[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Tufanye kazi na tudai maslahi mazuri iyo ni sahihi mbona...sikuhz kuna vituo by afya viko ndanindani uko yani unajikuta hata likizo unaweza usiende mzigo ulivyo mzito
 
Mzee baba, umetisha aisee..
Yani ningelikua na uwezo ningetuma payslips za wale wanalfanya na mashirika ya yasiokua ya serekali, yani utafurahi..

Jamaa anakupigia laki na nusu kila mwezi na wakati huku serekalini kazi hyo hyo hata laki mshahara ni majanga kufika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…