COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Hahahahha ety camera haiwezi.....tulete aerial view ya the best place in kariakoo10 to 20 floors😀😀😀😀😀😀
camera haiwezi kumaliza kariakoo sio level yenu
Hahahahha ety camera haiwezi.....tulete aerial view ya the best place in kariakoo10 to 20 floors😀😀😀😀😀😀
camera haiwezi kumaliza kariakoo sio level yenu
ambao hamjawai fika dar es salaam mnajulikana tuCBD should look like a CBD jameni.....hii ya Tanzania ya kila mahali yenye iko na maghorofa inaitwa CBD yachanganya sana.......anyway magorofa Dar ziko chache sana.
Dalili ya kishindwa kubadilisha mjadala mbio ...sasa umekua methopiaNchi yenye jangwa inawacharaza nje ndani
ile wakati wakujiona superior umeisha sasa ni njaa tu
Ethiopia to overtake Kenya as Eastern Africa’s top economy
Hebu rudia magorofa dar iko nini..............CBD should look like a CBD jameni.....hii ya Tanzania ya kila mahali yenye iko na maghorofa inaitwa CBD yachanganya sana.......anyway magorofa Dar ziko chache sana.
Ukubwa wa kariakoo ni sawa na mombasaHahahahha ety camera haiwezi.....tulete aerial view ya the best place in kariakoo
😀😀😀😀najua inauma ila poza hvo hvoDalili ya kishindwa kubadilisha mjadala mbio ...sasa umekua methopia
Haha hauna aerial photo?? Umeruka Mombasa tenaUkubwa wa kariakoo ni sawa na mombasa
113 km sq
Nakuonesha ukubwa wake ni sawa na msaHaha hauna aerial photo?? Umeruka Mombasa tena
Ukubwa wa kariakoo ni sawa na mombasa
113 km sq
Rudi kwenye point kariakoo inaukubwa sawa na mombasa 113 km sq😀😀😀😀hehehe. ....Mombasa has a GDP of 13 billion dollars.
....Dar nayo inacheza hapo 10.....kwanza Port ya Mombasa looks very big compared na hiyo ya Dar......Dar ndio iko na plans ya ku expand port yao. ...Meanwhile.....The Construction of the third terminal at the Mombasa port is ongoing
Nataka aerial photo ya kariakoo...ata kwa land size Naivasha imashinda mombasaNakuonesha ukubwa wake ni sawa na msa
Kwa hapa sina 😀😀😀😀😀😀
Uyu after story ya kutotakia wasichana wasome ..nmemconsider mjinga
Alikwenda shuleni kusoma au alifata mimbaUyu after story ya kutotakia wasichana wasome ..nmemconsider mjinga
Naivasha sio city ni kijiji 😀😀😀Nataka aerial photo ya kariakoo...ata kwa land size Naivasha imashinda mombasa
Ebu tuma picha ya kariakooAlikwenda shuleni kusoma au alifata mimba
😀😀😀😀😀😀😀
Usitumie nguvu tumia akili
Nataka aerial photo ya kariakoo...ata kwa land size Naivasha imashinda mombasa