Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii haitaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Media huru[emoji23][emoji23]
Asante sana serekali kw kuwapa kibali hawa wazee ili wafanye research[emoji23][emoji23]..
 
Watu hawawezi kula GDP watu wanakula chakula mzee[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
GDP yetu sio ya madini[emoji23][emoji23]
Ni nguvu kazi, sasa hao hao watu unawadharau ndio ambao wanachangia katika hyo gdp..

Uchumi wa nguvu kazi wachangiaji ni watu kw asilimia kubwa[emoji23]
Ulisomea basic za uchumi wapi jomba
 
GDP yetu sio ya madini[emoji23][emoji23]
Ni nguvu kazi, sasa hao hao watu unawadharau ndio ambao wanachangia katika hyo gdp..

Uchumi wa nguvu kazi wachangiaji ni watu kw asilimia kubwa[emoji23]
Ulisomea basic za uchumi wapi jomba
GDP yenu ni yann ??? Sio ile inayopumulia mipira ya mikojo sasa hvi 🤣🤣👇👇👇
Leo munanusa alama nyekundu munaanza kutafuta mchawi nani, nchi imewafia munaanza kuleta hasira zenu jamii forum
 
Wenzake hao hao [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
"Wametumwa na mababeru hao"[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatumika vibaya sana, itabidi tuwachunguze uraia wao sio bure
 
Kwhyo hutaki[emoji23][emoji23]
Nguvu kazi ndik kila kitu kenya
 
"Wametumwa na mababeru hao"[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatumika vibaya sana, itabidi tuwachunguze uraia wao sio bure
Uhehehheheheh hvi ni mwaka gani kenya unemployment rate ilishwah pungua na hawa pia wametumwa 🤣🤣🤣🤣👇👇👇taja huo mwaka mzeee
 
Kwn ukiwa na range alafu uyumbe kifedha value ya ile range nayo itashuka[emoji23][emoji23]
We mpuuzi sana, GDP sio km vile mnavyofikiria nyie na wala haishuki kihvo km unavyofikiria we boya
Ww nenda kacheze unapo chezaga .... ukiwa hujui kitu funga bakuli
 
Uhehehheheheh hvi ni mwaka gani kenya unemployment rate ilishwah pungua na hawa pia wametumwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]taja huo mwaka mzeee
"Mabeberiu hao ndio hawatutakii mema"[emoji23][emoji23]
Wanatumika vinbaya na "mabeberu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…