Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nafanya bizz pia nmeajiriwa...okey ntafuatilia
 
Alafu acha kuongea kama unaongea na watot bwana, kwaiyo uchumi wa nchi uyumbe ila GDP ibaki stable?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi ukasome upya ww njia ya kupata GDP...Km ni mchumi basi uchwara
 
Major factor was covid19 lockdown., but now tumerudi, kazi inaendelea licha ya siasa, si unajua sisi tunapiganga kelele tukifanya kazi., evidence tutawaonyesha.,
Wacha kujitia wazimu kenya ilisha yumba kabla ya corona ....unajidanganya km mtot kuridhisha nafsi yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo propaganda zenu zilifanya kazi zamani nowadays we don't give f**k hadi mtu wa chini kbs anawadharau wakenya,kwanza mna tabia za kike,usnitch, Halafu sisi na masnitch hata hatuendani,mnapenda kuabudu miungu mtu sana....nchi inaendeshwa kiujanja ujanja.Bado kuna wazungu wanawasaidia sadia mkiachwa peke yenu nyinyi wallah mtapigwa paipu mchana kweupeeee.Mimba juu.
 
Maneno mengi yakujijitetea ushuzi mtupu ww kubali tu kwa sasa muna hali mbaya just simple and clear 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Maneno mengi yakujijitetea ushuzi mtupu ww kubali tu kwa sasa muna hali mbaya just simple and clear [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hali mbaya ipi hyo na km biashara zinaendelea km kawaida[emoji23][emoji23]
Sai tofauti ya kenya na tz ni curfew tu lkn maisha bado ni yale yale ya kawaida km zamani
 
Alafu acha kuongea kama unaongea na watot bwana, kwaiyo uchumi wa nchi uyumbe ila GDP ibaki stable?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi ukasome upya ww njia ya kupata GDP...Km ni mchumi basi uchwara
Kwn ukiwa na range alafu uyumbe kifedha value ya ile range nayo itashuka[emoji23][emoji23]
We mpuuzi sana, GDP sio km vile mnavyofikiria nyie na wala haishuki kihvo km unavyofikiria we boya
 
Kwn ukiwa na range alafu uyumbe kifedha value ya ile range nayo itashuka[emoji23][emoji23]
We mpuuzi sana, GDP sio km vile mnavyofikiria nyie na wala haishuki kihvo km unavyofikiria we boya
Kwmb upuuzi wote serikali na wananchi wa Kenya wanafanya na bado mbaki palepale kwamba Mungu babaenu au sio.
 
Hali mbaya ipi hyo na km biashara zinaendelea km kawaida[emoji23][emoji23]
Sai tofauti ya kenya na tz ni curfew tu lkn maisha bado ni yale yale ya kawaida km zamani
Hivi Kenya kuna curfew au usanii wa curfew ya uhuru!
 
Kwmb upuuzi wote serikali na wananchi wa Kenya wanafanya na bado mbaki palepale kwamba Mungu babaenu au sio.
Kwn GDP ni ya serekali, hivi nyie mnasomea uchumi wapi..
Jamaa hata basic hujui, unafikiria kenya uchumi wake unategemea serekali..
Huku mambo ni nguvu kazi wala hatutegemei value za madini
 
Hali mbaya ipi hyo na km biashara zinaendelea km kawaida[emoji23][emoji23]
Sai tofauti ya kenya na tz ni curfew tu lkn maisha bado ni yale yale ya kawaida km zamani
Waache results will scream at their faces utaona vile wanapotea ama kutafuta vijisababu, for now watu wamechangamka deadly., nikupanda by end of 2021 utaona 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…