Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uwezi haooo! Nyangau haooooo. Tuwashike haooooo. Mijizi hiyooooooo. Inaiba benki ya wahindi hiyoooo. Fukuza jiziiii. Kenya acheni ujinga. Mmeiba mt. Kilimanjaro Leo mnataka kuiba DTB ya wahindi. Its purely Indian bank. Mimi mwenyewe na account hapo.
hahahahahah bank ya aga khan india ishakua yenu😀😀😀😀😀😀😀😀

DTB HQ | Facebook
DTB HQ
DTB HQ, Gary, Indiana. Company. ... DTB HQ. Privacy · Terms. About. DTB HQ. Company. Gary, Indiana. 0 people like this topic. Want to like this Page? Sign up ...
 
Wakenya wezi kweli. Kwenye milango ya ndege zao wameandika Mt. Kilimanjaro. Mijizi kweli. Leo inasema DTB niya Kenya. Kenge kweli kweli
 
Wakenya wezi kweli. Kwenye milango ya ndege zao wameandika Mt. Kilimanjaro. Mijizi kweli. Leo inasema DTB niya Kenya. Kenge kweli kweli
hua wanadhani kila wakionacho chao 😀😀😀😀😀😀
hata new surrender bridge amabayo ni 7 km ikiisha watasema iko mombasa likoni
 
kwanza unamjua mwenye DTB ?????????😀😀😀😀😀
ishakua partner sio ya kenya tena
we nimuongo sana..unajitia ujuaji mwingi kumbe zumbukuku..haya tuambie huyo owner nnani..pengine hatumjui
 
meanwhile...
09b27756084d19cd45c98c7f971c9ead.jpg

mungu saidia kenya.
 
Back
Top Bottom