Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo mbweha ana matatizo ya ubongo, yani hapo kivyake ywajikuta kalonga kitu cha ufahamu sana..
Lkn sasa tutawafanyaje jamani na wakati tayari huenda wamejaaliwa na Maulana, yani katika maisha yao ni mwendo wa kujitoa ufahamu ilimradi na yeye aonekane yupo..

Tena nakupa siri ndugu yangu tony, wanaume wa bongo(dar) wanapenda kujichubua..
 
angejua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ao waraabu anawatetemekea tuko nao maganzo apa tunapiga kisukuma kwakwenda mbeleee
Ss mtu utakuta anamuona ichoboy anasema eti ni muarabu kisa ngozi wkt ichoboy ni mswahili pure kuliko hata yeye na weusi wake huo, ichoboy mtoto wa ilala wapo wengi pale Wakenya msiogope sisi ndo Watz, wote sisi ni watoto wa Nyerere[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Halafu kuna kitu watu hawaja notice, huyu mzee Jiwe anakwenda kuacha legacy ya aina yake, anakwenda kukipeleka kiswahili next level, yn hii lugha ss ni rasmi inakwenda kutambulika kimataifa zaidi.

Zamani ilikuwa wakija viongozi wageni kutoka nchi kubwa kubwa ilikuwa president wetu anaongea kwa kingereza, lkn kwa Magu hapana, ataongea kiswahili mwanzo mwisho na hata mgeni akianza kuongea basi lazima mtafsiri awepo ili Watz wote waelewe kinachoongelewa bila chenga bila mangungo.

Tulichelewa sn kumpata kiongozi km huyu, tungekuwa mbali sana leo hii.
 
Wasu **** nao wanajiita waswahili[emoji23][emoji23]
Dunia ina maajabuView attachment 1686028
We kumbe hamnazo.! Hiyo mpaka uende Google . Waingereza (English people) wanaitwa hivyo kwasababu ya kuongea lugha ya kiingereza(English) na kwa tz kwasababu tunaongea lugha ya kiswahili Basi Ni moja kwa moja sie Ni waswahili. Umesoma hata hicho kiswahili chenyewe isije ikawa nabishana na mbumbumbu
 
Hehehehee inaonesha unawajua sn wanaume wa Tz wewe [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji3059][emoji180]
 

Tanzania ni zaidi uijuavyo, huyo hapo watatu kutoka kushoto akiwa na Samora pale Bagamoyo.
Cc Tony254 unaona umaarufu wa hii nchi? Yn watu wakubwa wakubwa wamewahi kuja kujifunza hapa mpk kina Ernesto Che guavara.

Huyo wa3 kutoka kushoto ndiye Putin mwenyewe, usijesema sijakuambia [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Mmh unawezaje kujua kwamba mtu ana kiswahili laini kwa kukiandika tu.?
 
Wana mda mrefu sana jirani mpaka waje watuelewe
 
WENZETU WANAJISIFU KULINDWA NA WESTERN, nguo ya kuazima haifichi utupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…