Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uhehehhehehrheh so say westland also hakuna mtu mutamdanganya hapa 🤣🤣🤣na sehemu GTC ipo ni sehmu ndogo ambayo haiko mbali na CBD au nasema urongoo🤣🤣
Westlands iko mbali na CBD. Huwezi kutembea kwa miguu. Lazima upande gari kutoka CBD ndio ufike Westlands. Wewe huijui Nairobi.
 
Wajinga hao jamaa. Walikuwa wanadhani watafukuza Safaricom from the market? Wameambulia patupu. Safaricom is the giant in East Africa
 
Picha ya hotel umetoa naona hupost tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 naona marina iko pale
naiona marina ipo pale au nikubue tena 🤣🤣
 
actually huu mtindo ni wa nchi za Kireno! Haswa Brazil! Luanda wameiga Brazil na Portugal!
 
3km ni mbali tony just be serious plz 🤣🤣🤣
Unajua sipendi uongo na leo nimekukamata. Hio 3 km umetoa wapi? Mzee siku hizi kuna teknolojia na hatukubali uongo.
Google maps inasema kutoka Nairobi CBD hadi westlands ni 5.4 kilometres na inachukua dakika nane na inachukua dakika nane kwenye gari kwa speed ya kawaida kama hakuna jam. Lakini kwa sababu jam huwa pale 24-7 basi hata kwa gari utachukua 20 mins. Na kwa miguu utachukua 30 minutes ndio ufike kule
 
Haha kumbe mumeiba interchange ya Uganda. Venus Star niliwaambia kwamba kwenye sophistication ya barabara mko nyuma sana. Hata Uganda wamewashinda.
Hahahah kumbe tumeiba maeneo ya watu nilitaka kushangaa..
Chini ya ccm usitegemee kukuta barabara kaa izo..

Ccm mbele kwa mbele..
 
@The best 007umewahi kujua kuhusu hii airport chato, hahahahaha haya hii ndio size ya kulinganisha na uchafu wao wa so called mombasa international airport 😂😂😂 Tony254 kuja hapa
 
My dear brother/sister dsm is not what u think haya nakujibu . Usiendelee na kelele sawa .?
Mijitu cocomaster haijawahi kutoka nje ya Nairobi the largest slum capital of the whole World ila ni mijuaji! Kwenye hiyo video yaani kuanzia coco beach mpaka posta ya Zamani kutawekwa promenade zikiunganishwa na daraja! Na baadae pale Kivukoni fish market kutawekwa tunnel kuunganisha na Kigamboni ambapo kutakuwa na promenade nyingine!
 
Shida ni kwamba tunabisha na vilaza waliamua kujifanya wanajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…