Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kweli. Mombasa zamani ilikuwa ni hako kakisiwa tu. Hako kakisiwa ndio Mombasa original. Hata ndio maana CBD iko hapo. Hata mahali panapoitwa old city iko hapo.
Halafu Naton Jr na Venus Star wanajifanya wajuaji hapa na hakuna wanachojua.
Wapuuzi hao jamaa[emoji23][emoji23]
Wanapenda ku force ujinga
 
Yaani tunjadili kaeneo kadoooogo kweli urefu 2km upana 2.5km serious. Hii tunaita ni Coral outcrop
View attachment 1682018
We uko na wazimu,, Mombasa island is bigger than kariakoo+posta+ upanga combined,,,na hio island 80% Ni CBD,Ukisikia tukisema Dar imezidia Mombasa tu kwa towers tunajua tunachosema😁😁
Upana Ni 3km
Urefu Ni 5km
See below 🔥🔥🔥🔥🤸
 
Siku hizi distance zinapimwa kwenye ramani. Hivi umewahi kusoma map reading!?
We use scale to measure map on paper siyo hivyo unavyofanya.

Which scale did you use!? Hahahaha
 
Kumbe Mombasa island is bigger than kariakoo +upanga+posta combined
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
That means Mombasa is bigger than Dar ju huko kmebaki Ni uswazi tupu😂😂😂

Mombasa
Vs Dar
 
Hawa wameshapanic tayari wanaanza kurusha majini hovyo hovyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwnn mnakuwa ni watu wa kulazimisha mambo? Here is the definition of an island, je Mombasa imezungukwa na maji pande zote?[emoji116][emoji116]
 
Joe Biden anaingia madarakani. Mjinga Trump anaondoka. Natazama kwenye CNN

tv zenu za kishamba sana.. nimejaribu kucheck tv za kenya na Tanzania, za Tanzania hata hazina ujinga wa kuonyesha hayo mambo ya USA.. nyie zenu ndo zinapnyesha .. yan badala zihabarishe au ziibue matatizo ktk jamaa yenu.. zinaonyesha vitu vya nje.. sidhan tv za usa zina mda wa kuonyesha inauguration events za marais wa kenya!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…