Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,768
jaluo anapenda Kikuyu?Ni ukweli it research if zanzibar was given a choice wangetaka kujitawala.... hata wakati wa elections walitumiwa majeshi ndo watulie wanakamdamizwa na ccm
Jaluo na kikuyu wako inchi moja but zanzibar is a country of it's own ni vile tu they did a merger with tanganyika dint even know that anti-Zanzibar sentiment on the mainland is moving beyond political rhetoric. As recently as March 2017, President John Magufuli threatened to cut electricity supply to the islands if the Zanzibar failed to pay a debt of 121 billion Tanzanian shillings ($54m). 😂😂😂😂 that's funny tanzania iwache zanzibar wafanye tu Maneno yao Awache kujilazimisha kwao na wao wanataka kujitawalajaluo anapenda Kikuyu?
Au Kalenjin anapenda Kikuyu?
According to who ?2019 nov phase one ilikua 80%[emoji23][emoji23][emoji23]
SGR
Phase 1 over 92%
phase 2 over 52%
Phase 5 site works
unasemaje hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pita 2022 kwanza! Kamwana the tribal kingpin is already inciting his tribal community against Ruto n his Kalenjin community !Jaluo na kikuyu wako inchi moja but zanzibar is a country of it's own ni vile tu they did a merger with tanganyika dint even know that anti-Zanzibar sentiment on the mainland is moving beyond political rhetoric. As recently as March 2017, President John Magufuli threatened to cut electricity supply to the islands if the Zanzibar failed to pay a debt of 121 billion Tanzanian shillings ($54m). 😂😂😂😂 that's funny tanzania iwache zanzibar wafanye tu Maneno yao Awache kujilazimisha kwao na wao wanataka kujitawala
Mulimaliza mapema au mchina alimaliza mapema alaf madudu yakaanza kuonekana alaf ikaishia machakani😅😅😅😅It was a joint east africa project hata kama sisi hatukujenga ya umeme tulimaliza mapeeema bado a century later hamjawai anza kuna Matilda kama kuna mwana biashara atakuambia that's poor turn over
Kenya imeanza kutumia sgr miaka 20 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mungu weeeeeeeeeNani aumizwe roho mnaweka asilimia bila aibu na ni miaka ishirini baadae kenya and ethiopia walishaanza kutumia zao hadi zimezeeka ndo maana kenya imeanza kufanya biashara na ethiopia wait wako chap chap si mabongo lala Kama wenzetu huku
Kwann nyie musiachie mombasa wakajitawala 🤣🤣🤣👇👇👇👇 Au unafkiri hatujuiJaluo na kikuyu wako inchi moja but zanzibar is a country of it's own ni vile tu they did a merger with tanganyika dint even know that anti-Zanzibar sentiment on the mainland is moving beyond political rhetoric. As recently as March 2017, President John Magufuli threatened to cut electricity supply to the islands if the Zanzibar failed to pay a debt of 121 billion Tanzanian shillings ($54m). 😂😂😂😂 that's funny tanzania iwache zanzibar wafanye tu Maneno yao Awache kujilazimisha kwao na wao wanataka kujitawala
Mombasa ni Tz ile ipo siku tutaichukua.Kwann nyie musiachie mombasa wakajitawala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Au unafkiri hatujui
Ila jamaa kakupiga punches za kisawasawa Simba 254Wazanzibari wengi wapo bara na wamewekeza maisha yao yote huku bara kuliko Zanzibar, kwakifupi huku kwetu hakuna ubaguzi na hautowahi kutokea cz Tz miaka yote inaongozwa na viongozi makini walioenda shule co nyie wapuuzi.
Rais wa mombasa wa kwanza alikua nani vile[emoji23][emoji23]Kwann nyie musiachie mombasa wakajitawala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Au unafkiri hatujui
Tutayarishieni arusha na moshi pamoja na mlima wetu[emoji23][emoji23]Mombasa ni Tz ile ipo siku tutaichukua.
Na hawa waliokua wanadai uhuru ni kina nani vile nikumbushe au unafkiri kenyatta alifuta historia???😁😁😁Rais wa mombasa wa kwanza alikua nani vile[emoji23][emoji23]
Nionyeshe walipata uhuru lini na pesa yao ilikua gani..
Njoni hku kuna jamaa kaumie aisee
Ndio kenyatta aliwadanganya hvo sogeeni alafu muone mziki basi 😀😀😀Tutayarishieni arusha na moshi pamoja na mlima wetu[emoji23][emoji23]
According to youAccording to who ?
Hata wana chato pia wanaweza dai uhuru[emoji23][emoji23]Na hawa waliokua wanadai uhuru ni kina nani vile nikumbushe au unafkiri kenyatta alifuta historia???[emoji16][emoji16][emoji16]
Mwenzako ndio kayasema ukajitia uungwana sasa nasema mie umekasirika[emoji23][emoji23]Ndio kenyatta aliwadanganya hvo sogeeni alafu muone mziki basi [emoji3][emoji3][emoji3]
Sogeeni kilimanjaro basi 🤣🤣🤣🤣 muone mzikiMwenzako ndio kayasema ukajitia uungwana sasa nasema mie umekasirika[emoji23][emoji23]
Pole sana
Mbona hawadai sasa ??? Unafkiri huku kuna siasa za kikabila kama kwenu😄😄Hata wana chato pia wanaweza dai uhuru[emoji23][emoji23]
Vipi kuhusu maswali yangu, au yamekushinda